Ni kwanini mimi sidumu

Ni kwanini mimi sidumu

Haya maneno ndiyo yanayosababisha kuto kukaa kwenye mahusiano muda mrefu "" Naombeni ushauri ila sio pm hata hapa itasaidia pia""

Inaelekea unampangia sheria Mwanaume.
 
Ukitaka kudumu kwa mwanaume usiombe hata nauli ya kuja kwa huyo jamaa. Ikibidi ukiwa unakuja pitia sokoni nunua mahitaji ya chakula kwa siku nzima utayokuwepo hapo na wala usiombe kurudishiwa. Mwisho kabisa usiwe mtu wa kulalamikalalamika, ongea na jamaa mambo mazuri ya utafutaji pesa hata kama unamuongopea. Akikuacha njoo kwangu[emoji3]
Siwezi kufanya hivyo utanisamehe ila ninalo weza fanya tukifanikiwa kutulia nitapika chakula atakacholeta mimi sio baba wa familia ni yeye.
 
Akiwa hivyo hata akinitibua ntamuomba msamaha walahi, nani hataki mwanamke anae guarantee peace of mind! Hapo ulichosahau kusema ni asiwe mkorofi kwenye kutoa mbunye kila nikihitaji hapo ndio naoa kabisa week ijayo hata kwa kuwatapeli tala!
 
Siwezi kufanya hivyo utanisamehe ila ninalo weza fanya tukifanikiwa kutulia nitapika chakula atakacholeta mimi sio baba wa familia ni yeye.
Duh, kwa style hii bado unamtafuta mchawi nani tena!
 
Msikie mwenzio hapa[emoji116]
IMG-20181115-WA0000.jpeg
 
Za leo marafiki na wapenzi wa jf
Za siku nyingi
Natatizo moja ni kwanini mimi nakuwa siwezi kudumu katika urafiki yaani nakuwa na mtu halafu mwisho wake sielewi mtu tu anakaa kimya tu mara yupo busy yaani mtu huelewi why hata kama wewe hajakutumia sijui why .
Naombeni ushauri ila sio pm hata hapa itasaidia pia.
Hilo Suala lipo kiroho ndugu.

Binti ni mzuri ila kunakuwa na roho ya kukataliwa inakufuatilia kama alivyosema mdau hapo juu.

Unajiona huna kasoro na ni kijana ila wale au yule unayempenda anafanywa kukuchoka mapema na hata kukuona kama Bibi kizee usiye na sifa au ukipitwa na wakati.

Ukiwa na uhusiano mzuri na MUNGUbna kumwomba na kumtegemea atakufanya kuwa mpya kila siku na kukuinua kiviwango.

Hakika Nakuambia.
 
When people walk away from you let them WALK kuna vitu sio vya kulazimisha.

Imenikuta pia kuna mtu kaondoka bila kusema kitu nikamuacha aende zake tena kwa amani
Na atarudi
 
Tatizo wewe ni mwanamke halafu unajiita big boss..hawa wenzetu hawapendi
 
Inawezekana kua wewe ndio chanzo

Jichunguze
 
Back
Top Bottom