Ni kwanini mimi sidumu

Ni kwanini mimi sidumu

bigboss1

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
319
Reaction score
196
Za leo marafiki na wapenzi wa jf
Za siku nyingi
Natatizo moja ni kwanini mimi nakuwa siwezi kudumu katika urafiki yaani nakuwa na mtu halafu mwisho wake sielewi mtu tu anakaa kimya tu mara yupo busy yaani mtu huelewi why hata kama wewe hajakutumia sijui why .
Naombeni ushauri ila sio pm hata hapa itasaidia pia.
 
Ni moja ya mateso ya ibirisi kwa watoto wa kike.

Kwa nje wanakuona huna kasoro ila mahusiano hayadumu mengine huyeyukia hewani tu bila kujua chanzo. Na unaridhika tu kwa kujipa moyo kuwa ipo siku utampata mwingine.

Badili gia angani, mgeukie Mungu tu.
 
Kipindi hiki cha Magu usitegemee sana sponsors. Hangaika na maisha mama, ukishakuwa nazo tutakuja mpaka utaleta thread hapa kuwa tumekuwa too much.

Wadadazz wengi siku hizi wameshastuka kuwa kudanga hakulipi tena.

Ndio maana nasema njooni kwangu wenye kulemewa na mizigo nanyi mtarudi nayo kwanini tuchukue yenu while sisi pia tuna mizigo yetu? (Professor Hamo) Churchill Show.

Wajibika sana na kazi halali mdada.
 
Kabla hujaanza kuwashangaa hao wanaokupotezea jifanyie tathmini ..huenda wewe ndio chanzo cha kupotezewa..mfano tabia zako labda za kitoto toto au mpiga mizinga toleo jipya,au hueleweki unataka nini kwenye maisha n.k...
 
Chakufanya basi nifanyaje?
 
Ni moja ya mateso ya ibirisi kwa watoto wa kike.

Kwa nje wanakuona huna kasoro ila mahusiano hayadumu mengine huyeyukia hewani tu bila kujua chanzo. Na unaridhika tu kwa kujipa moyo kuwa ipo siku utampata mwingine.

Badili gia angani, mgeukie Mungu tu.
Poa asante kwa ushauri
 
Usilete ubosi hadi kwenye mahusiano, jishushe.
 
Back
Top Bottom