Ni kwanini mimi sidumu

Ni kwanini mimi sidumu

Za leo marafiki na wapenzi wa jf
Za siku nyingi
Natatizo moja ni kwanini mimi nakuwa siwezi kudumu katika urafiki yaani nakuwa na mtu halafu mwisho wake sielewi mtu tu anakaa kimya tu mara yupo busy yaani mtu huelewi why hata kama wewe hajakutumia sijui why .
Naombeni ushauri ila sio pm hata hapa itasaidia pia.
Ngoja nikusaidie, wala usinilipe! Fanya hivi: tafuta watu wasiopungua 3 wanaokujua vzr, halafu waambie hivi, "nimekutana na mtu nnayemuamini sana kwenye mahusiano (mtaalam) nikamuuliza ni kwa nini sidumu kwenye mahusiano? Akanijibu kwa kifupi kwamba "angalia mdomo wako". Alimaanisha nini? Majibu utakayopata ulete mrejesho (feedback).
 
When people walk away from you let them WALK kuna vitu sio vya kulazimisha.

Imenikuta pia kuna mtu kaondoka bila kusema kitu nikamuacha aende zake tena kwa amani
Duuh mpaka wewe ledada unafanyiwa hivo jamani
 
Za leo marafiki na wapenzi wa jfZa siku nyingiNatatizo moja ni kwanini mimi nakuwa siwezi kudumu katika urafiki yaani nakuwa na mtu halafu mwisho wake sielewi mtu tu anakaa kimya tu mara yupo busy yaani mtu huelewi why hata kama wewe hajakutumia sijui why .Naombeni ushauri ila sio pm hata hapa itasaidia pia.
bora yako wewe,mimi yaani mademu hawataki hata kunitongoza sijui kwanini...Binafsi nilishaapa kutotongoza dame,,kauli mbiu yangu ni," if Mohamed wont came to the mountain,then mountain will come to mohamed"
,ha ha ha,lakini up to now ,mountain havent ,what am i suppossed to do now
 
Unachagua wewe marafiki ndio tatizo. Acha rafiki akuchague yeye na usijidai unataka standards za juu sana
 
Woiii sisi hata hatujali si tunakulana si unajua vile kaskazin pesa ndo kila kitu
Mnachoboa kingine mu wabaridi sana pia..!

Pesa kitu gani ata mie sijali kikubwa msinighande inatosha..
 
Kabla hujaanza kuwashangaa hao wanaokupotezea jifanyie tathmini ..huenda wewe ndio chanzo cha kupotezewa..mfano tabia zako labda za kitoto toto au mpiga mizinga toleo jipya,au hueleweki unataka nini kwenye maisha n.k...
Au unakuta huwa analazimisha kulalwa!
 
Una potential kubwa,jamaa hakutakiwa kukupoteza kizembe hivyo..au kuna vitu ulikuwa unamkwaza?
Labda,ila hakuwahi kusema chochote.
Majuzi alinitafuta eti tu make up wakati mimi kwenye list nshamtoa kitambo
 
Utakuwa unanuka papuchi..wengi huwa hatusemi ila nikupiga mboo na kusepa
Za leo marafiki na wapenzi wa jf
Za siku nyingi
Natatizo moja ni kwanini mimi nakuwa siwezi kudumu katika urafiki yaani nakuwa na mtu halafu mwisho wake sielewi mtu tu anakaa kimya tu mara yupo busy yaani mtu huelewi why hata kama wewe hajakutumia sijui why .
Naombeni ushauri ila sio pm hata hapa itasaidia pia.
 
Maana yake wewe umekuwa mzigo kwake,chakufanya tafuta wenye uwezo wa kubeba huo mzigo.
 
Back
Top Bottom