Ni kwanini mimi sidumu

Ni kwanini mimi sidumu

Za leo marafiki na wapenzi wa jf
Za siku nyingi
Natatizo moja ni kwanini mimi nakuwa siwezi kudumu katika urafiki yaani nakuwa na mtu halafu mwisho wake sielewi mtu tu anakaa kimya tu mara yupo busy yaani mtu huelewi why hata kama wewe hajakutumia sijui why .
Naombeni ushauri ila sio pm hata hapa itasaidia pia.
Jaribu kuwa kauzu na ww acpokutafuta Tuma sms moja2 kwa cku acpo jibu nawe potezea ukimsumbua sana atakutesa
 
When people walk away from you let them WALK kuna vitu sio vya kulazimisha.

Imenikuta pia kuna mtu kaondoka bila kusema kitu nikamuacha aende zake tena kwa amani
Good idea
 
When people walk away from you let them WALK kuna vitu sio vya kulazimisha.

Imenikuta pia kuna mtu kaondoka bila kusema kitu nikamuacha aende zake tena kwa amani
Karibu nikupe hifadhi mpendwa [emoji7]
 
nikiomba picha kwenye huu uzi ntakuwa nimekosea? 😂


lazima kutakuwa na tatizo sehemu embu jaribu kukaa chini na huyu rafiki unayehofia kumpoteza

alafu jaribu kumuuliza kama kuna vitu unavifanya vinamkwaza mwambie awe open asiogope kukwambia

kama kuna vitu vinamkwaza toka kwako aseme na avitaje hivyo vitu

maybe huwa kuna vitu hawavipend toka kwako na wanaogopa kukwambia thats why wanaishia kuingia mitini

thank me later.....
 
Waende tu hizi sio nyakati za kubembelezana..kila mtu anapambana na maisha
Huo ubabe wako wa kasikazini, utakufanya uolewe mbali..!

Utajikuta unaolewa kongo ambako awajui jf..
 
Ukitaka kudumu kwa mwanaume usiombe hata nauli ya kuja kwa huyo jamaa. Ikibidi ukiwa unakuja pitia sokoni nunua mahitaji ya chakula kwa siku nzima utayokuwepo hapo na wala usiombe kurudishiwa. Mwisho kabisa usiwe mtu wa kulalamikalalamika, ongea na jamaa mambo mazuri ya utafutaji pesa hata kama unamuongopea. Akikuacha njoo kwangu[emoji3]
 
Back
Top Bottom