Ni kwanini Jeshi la Polisi halijamkamata Mwita Waitara kuhusiana na sakata la Tundu Lissu?

Pengo Wa Roman Catholic yupo wapi?

Shekh Alhad Salm Wa mkoa DSM yupo wapi

Hawa watu huwa wanakera sana sana, wauwaji na mauwaji yanapofanyika wananyamaza kimyaaaaaa

Watu wakristu kwa waislam wakianza kulaani utawasikia wakiibuka Pengo na Alhad salum eti tusichanganye dini na siasa!!!!!!
 
Wanachotakiwa sahivi intelijensia ya chadema ni kukusanya kila aina ya ushahidi,kila chembe ya viashiria ili vitumike siku moja kuwahoji hawa mafedhuli.

Isije ikawa wanaishia tu kucheka na kuendeleza mijadala mitandaoni wakati hakuna hatua yeyote inachukuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Intelijensia ya Usho.ga na kina Chidi Benzi!? Chadema ina intelijensia gani!? Mapopoma bwana!
 
Najaribu kuimagine kama kauli hiyo ingetollewa na mpinzani, sijui ingekuwaje....

Naamini hao Polisi wangeshamkamata mpinzani huyo na kumburuza "fasta" mahakamani

Katika nchi moja ni jambo la hatari sana kuweka matabaka ya watu wanaoweza chukuliwa hatua na wengine kupewa "impunity" ya kutoweza shitakiwa!
Endelea kuimagine...leta kelele UTANGULIZWE.
Mnatokwa mapovu sababu ya Kauli ATANGULIZWE!? Ilhali wengi wenu huwa mnatangulizwa na madanga kunako 6x6.
Shame on you MoFo!
 
Kumbe ndiyo sababu mnakataa kuleta wachunguzi kutoka nchi za nje ili waje wafanye uchunguzi kuhusu sakata la Lissu??

Kwa kuwa mnajua ni "nyinyi wenyewe" ndiyo mliomminia risasi!
 
Kuna clip ambayo imeendelea kusambaa mtandaoni, ambayo bila shaka yoyote, sauti inayosikika humo ni ya Mbunge wa Ukonga na waziri mdogo wa TAMISEMI Mwita Waitara

Katika clip hiyo amesikika mbunge huyo akitamka kuwa kwenye vita ya uchumi, mnapoona kuna mtu anawakwamisha kwenye vita hiyo hamna budi KUMTANGULIZA mtu huyo!

Ni maneno ya hatari sana kwa usalama wa nchi yetu, kutamkwa na mwanasiasa, mwenye wadhifa mkubwa wa ubunge, ambapo anatoa hukumu kuwa mtu wa aina hiyo hana budi kuuawa!

Ni maneno ya hatari mno kutamkwa kwa kuwa tunavyojua ni chombo kimoja pekee kilichopewa dhamana ya kutoa hukumu hapa nchini, ambapo chombo hicho ni mahakama

Vile vile ni maneno ya hatari mno kwa kuwa hadi sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu, hakuna mtuhumiwa hata mmoja aliyekamatwa na kufanyiwa "interrogation" kuhusiana na tukio lile la kumiminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye gari lake, kwa nia ya kumwua Tundu Lissu, ambapo hadi sasa anaendelea kuuguza majeraha katika hospitali nje ya nchi.

Ndipo hapo ninapojiuliza, je Jeshi la Polisi linasubiri nini kumkamata Mwita Waitara, kwa mahojiano ili limfikishe mahakamani kutokana na maneno yake ya UCHOCHEZI??

Kama Jeshi la Polisi halitamkamata Mwita Waitara, tutajua kuwa limepewa "maagizo" toka juu ili lisifanye hivyo!

Kwa kufanya hivyo ndipo Jeshi hilo linatengeneza visasi vya hali ya juu ndani ya Jamii ya watanzania, kwa kuwa itakuwa inafahamika wazi kuwa kuna baadhi ya watu ndani ya CCM, wanaweza kuongea vitu vya hatari sana kwa nchi hii, lakini vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi haviwezi kuwakamata, kwa kuwa kundi hilo la watu ni UNTOUCHABLES!
Wewe ndio unaweza kukamatwa Kwa uchochezi sio waziri
 
Kumbe ndiyo sababu mnakataa kuleta wachunguzi kutoka nchi za nje ili waje wafanye uchunguzi kuhusu sakata la Lissu??

Kwa kuwa mnajua ni "nyinyi wenyewe" ndiyo mliomminia risasi!
Masho.ga mnajipiga mipira ukwayuni halafu mnasingizia walinzi wa gesti wamewalawiti!
Shame on you MoFos!
 
Inauma sana kuona akina Mbowe "wakiozea" jela zaidi ya miezi 2 sasa, wakati huyu Mwita Waitara akiwa amecommit "major criminal case" akiwa anapeta tu uraiani!
 
Kuna clip ambayo imeendelea kusambaa mtandaoni, ambayo bila shaka yoyote, sauti inayosikika humo ni ya Mbunge wa Ukonga na waziri mdogo wa TAMISEMI Mwita Waitara

Katika clip hiyo amesikika mbunge huyo akitamka kuwa kwenye vita ya uchumi, mnapoona kuna mtu anawakwamisha kwenye vita hiyo hamna budi KUMTANGULIZA mtu huyo!

Ni maneno ya hatari sana kwa usalama wa nchi yetu, kutamkwa na mwanasiasa, mwenye wadhifa mkubwa wa ubunge, ambapo anatoa hukumu kuwa mtu wa aina hiyo hana budi kuuawa!

Ni maneno ya hatari mno kutamkwa kwa kuwa tunavyojua ni chombo kimoja pekee kilichopewa dhamana ya kutoa hukumu hapa nchini, ambapo chombo hicho ni mahakama

Vile vile ni maneno ya hatari mno kwa kuwa hadi sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu, hakuna mtuhumiwa hata mmoja aliyekamatwa na kufanyiwa "interrogation" kuhusiana na tukio lile la kumiminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye gari lake, kwa nia ya kumwua Tundu Lissu, ambapo hadi sasa anaendelea kuuguza majeraha katika hospitali nje ya nchi.

Ndipo hapo ninapojiuliza, je Jeshi la Polisi linasubiri nini kumkamata Mwita Waitara, kwa mahojiano ili limfikishe mahakamani kutokana na maneno yake ya UCHOCHEZI??

Kama Jeshi la Polisi halitamkamata Mwita Waitara, tutajua kuwa limepewa "maagizo" toka juu ili lisifanye hivyo!

Kwa kufanya hivyo ndipo Jeshi hilo linatengeneza visasi vya hali ya juu ndani ya Jamii ya watanzania, kwa kuwa itakuwa inafahamika wazi kuwa kuna baadhi ya watu ndani ya CCM, wanaweza kuongea vitu vya hatari sana kwa nchi hii, lakini vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi haviwezi kuwakamata, kwa kuwa kundi hilo la watu ni UNTOUCHABLES!
Lile jitu hata sura yake inasadifu akili mbaya, mawazo mabaya, matendo mabaya. Ni jitu lililobeba roho ya shetani katika mwili na ndani ya roho.
 
Pengo Wa Roman Catholic yupo wapi?

Shekh Alhad Salm Wa mkoa DSM yupo wapi

Hawa watu huwa wanakera sana sana, wauwaji na mauwaji yanapofanyika wananyamaza kimyaaaaaa

Watu wakristu kwa waislam wakianza kulaani utawasikia wakiibuka Pengo na Alhad salum eti tusichanganye dini na siasa!!!!!!
Pengo ni kiongozi wangu lakini amekikuwa kikwazo katika imani maana anayoyasimamia ni kinyume na mafundisho ya Kristo, ni kinyume na waraka wa Papa ambao ulieleza wazi kuwa Kanisa linatakiwa kusimama na wanaodhulumiwa, halistahili kushikamana na watawala.
 
Kama kweli Jeshi letu la Polisi linafanyia kazi taarifa za kiintelejensia, basi ni lazima limkamate Mwita Waitara......

Kutomkamata huyo mtu tutajua kuwa Jeshi hilo linapewa "maagizo" toka juu ya namna ya kutekeleza majukumu yake, na siyo kuwa wanatimiza majukumu yao kwa weledi

Refer kauli ya Mkuu wa nchi ya "I WISH I COULD BE IGP"
Na likimkamata sisi wananchi tutajua limepokea maagizo kutoka kwako, eti uchochezi, wapi katajwa Lissu humo? kwani kuna kipya kilichotajwa humo? kwani sio kweli kusaliti taifa ni uhaini na adhabu yake inajulikana ni kifo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile jitu hata sura yake inasadifu akili mbaya, mawazo mabaya, matendo mabaya. Ni jitu lililobeba roho ya shetani katika mwili na ndani ya roho.
Hivi sisi wananchi tukiita serikali hii kuwa ni "United Republic of Gangsters" tutakuwa tumekosea??

Ni muhimu watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa kufanya maamuzi magumu katika uchaguzi ujao wa 2020, iwapo tutataka tuirejeshe nchi hii kwenye utawala wa sheria

#TunduLissuForPresidency2020
#MagufuliMustGo
 
Kwanini jeshi la polisi lisimkamate tundu lissu?? Huoni kwamba anachokifanya ni hatari sana kwa usalama wa nchi??

Ok umesema kwamba chombo pekee cha kutoa haki ni mahakama sasa mbona umejitekenya na kucheka mwenyewe... Kwann lissu asiende kutafuta haki mahakamni??? BBC, Dw imekuwa mahakama??? Unahisi nani analeta hatar ya kiusalama hapo???

Anachokifanya lissu ndo namna masuala yanavyosuluhishwa???? Je huyu nae anaitwa mwanasheria na mbunge atiiii!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengo Wa Roman Catholic yupo wapi?

Shekh Alhad Salm Wa mkoa DSM yupo wapi

Hawa watu huwa wanakera sana sana, wauwaji na mauwaji yanapofanyika wananyamaza kimyaaaaaa

Watu wakristu kwa waislam wakianza kulaani utawasikia wakiibuka Pengo na Alhad salum eti tusichanganye dini na siasa!!!!!!
Wakiongea ndo itakuwaje???? Ww umeongea jf nn kimebadilika????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom