Ni kwanini Jeshi la Polisi halijamkamata Mwita Waitara kuhusiana na sakata la Tundu Lissu?

Jambo la kushukuru Ni kuwa taratiiiiibu Wanaanza kuji expose. Hadi Sasa, upo ushahidi usio na Shaka kuhusu waliohusika KUMDHURU LISSU. Hadi sakata hili litakapokwisha, kila Ukweli utawekwa wazi na Wahusika wenyewe. Hapa Duniani OGOPA SANA MUNGU NA TEKNOLOJIA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna clip ambayo imeendelea kusambaa mtandaoni, ambayo bila shaka yoyote, sauti inayosikika humo ni ya Mbunge wa Ukonga na waziri mdogo wa TAMISEMI Mwita Waitara

Katika clip hiyo amesikika mbunge huyo akitamka kuwa kwenye vita ya uchumi, mnapoona kuna mtu anawakwamisha kwenye vita hiyo hamna budi KUMTANGULIZA mtu huyo!

Ni maneno ya hatari sana kwa usalama wa nchi yetu, kutamkwa na mwanasiasa, mwenye wadhifa mkubwa wa ubunge, ambapo anatoa hukumu kuwa mtu wa aina hiyo hana budi kuuawa!

Ni maneno ya hatari mno kutamkwa kwa kuwa tunavyojua ni chombo kimoja pekee kilichopewa dhamana ya kutoa hukumu hapa nchini, ambapo chombo hicho ni mahakama

Vile vile ni maneno ya hatari mno kwa kuwa hadi sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu, hakuna mtuhumiwa hata mmoja aliyekamatwa na kufanyiwa "interrogation" kuhusiana na tukio lile la kumiminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye gari lake, kwa nia ya kumwua Tundu Lissu, ambapo hadi sasa anaendelea kuuguza majeraha katika hospitali nje ya nchi.

Ndipo hapo ninapojiuliza, je Jeshi la Polisi linasubiri nini kumkamata Mwita Waitara, kwa mahojiano ili limfikishe mahakamani kutokana na maneno yake ya UCHOCHEZI??

Kama Jeshi la Polisi halitamkamata Mwita Waitara, tutajua kuwa limepewa "maagizo" toka juu ili lisifanye hivyo!

Kwa kufanya hivyo ndipo Jeshi hilo linatengeneza visasi vya hali ya juu ndani ya Jamii ya watanzania, kwa kuwa itakuwa inafahamika wazi kuwa kuna baadhi ya watu ndani ya CCM, wanaweza kuongea vitu vya hatari sana kwa nchi hii, lakini vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi haviwezi kuwakamata, kwa kuwa kundi hilo la watu ni UNTOUCHABLES!
Ndege wa rangi moja uruka pamoja!

In God we Trust
 
Na likimkamata sisi wananchi tutajua limepokea maagizo kutoka kwako, eti uchochezi, wapi katajwa Lissu humo? kwani kuna kipya kilichotajwa humo? kwani sio kweli kusaliti taifa ni uhaini na adhabu yake inajulikana ni kifo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi ndiyo mnampa kichwa huyu "kichaa" wenu.......

Siku kikiwageukia nyinyi msije kuanza kulia na kusaga meno na kuanza kusema NINGEJUA........
 
Bado nipo ktk mshangao juu ya Huyo mwita! Miaka 4 iliyopita Mhe Tundu Lissu alikuwa mtetezi wake ktk case yake ya ugaidi aliyofunguliwa na hawa maccm.
Leo hii Huyo mwita anakuwa mstari wa mbele kutaka kumwangamiza mtu aliyemnusuru na kifungo
Kuna clip ambayo imeendelea kusambaa mtandaoni, ambayo bila shaka yoyote, sauti inayosikika humo ni ya Mbunge wa Ukonga na waziri mdogo wa TAMISEMI Mwita Waitara

Katika clip hiyo amesikika mbunge huyo akitamka kuwa kwenye vita ya uchumi, mnapoona kuna mtu anawakwamisha kwenye vita hiyo hamna budi KUMTANGULIZA mtu huyo!

Ni maneno ya hatari sana kwa usalama wa nchi yetu, kutamkwa na mwanasiasa, mwenye wadhifa mkubwa wa ubunge, ambapo anatoa hukumu kuwa mtu wa aina hiyo hana budi kuuawa!

Ni maneno ya hatari mno kutamkwa kwa kuwa tunavyojua ni chombo kimoja pekee kilichopewa dhamana ya kutoa hukumu hapa nchini, ambapo chombo hicho ni mahakama

Vile vile ni maneno ya hatari mno kwa kuwa hadi sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu, hakuna mtuhumiwa hata mmoja aliyekamatwa na kufanyiwa "interrogation" kuhusiana na tukio lile la kumiminiwa risasi zaidi ya 30 kwenye gari lake, kwa nia ya kumwua Tundu Lissu, ambapo hadi sasa anaendelea kuuguza majeraha katika hospitali nje ya nchi.

Ndipo hapo ninapojiuliza, je Jeshi la Polisi linasubiri nini kumkamata Mwita Waitara, kwa mahojiano ili limfikishe mahakamani kutokana na maneno yake ya UCHOCHEZI??

Kama Jeshi la Polisi halitamkamata Mwita Waitara, tutajua kuwa limepewa "maagizo" toka juu ili lisifanye hivyo!

Kwa kufanya hivyo ndipo Jeshi hilo linatengeneza visasi vya hali ya juu ndani ya Jamii ya watanzania, kwa kuwa itakuwa inafahamika wazi kuwa kuna baadhi ya watu ndani ya CCM, wanaweza kuongea vitu vya hatari sana kwa nchi hii, lakini vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi haviwezi kuwakamata, kwa kuwa kundi hilo la watu ni UNTOUCHABLES!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kumlaumu mtazame kwanza sura yake
Bado nipo ktk mshangao juu ya Huyo mwita! Miaka 4 iliyopita Mhe Tundu Lissu alikuwa mtetezi wake ktk case yake ya ugaidi aliyofunguliwa na hawa maccm.
Leo hii Huyo mwita anakuwa mstari wa mbele kutaka kumwangamiza mtu aliyemnusuru na kifungo

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
kwani kamtaja jina huyo adui ambaye tunapigana naye vita ya uchumi?
kwanza nikuoneshe kwamba umeleta uzi kwa ushabiki wa kimapenzi ya siasa, ni kweli kabisa kwenye Vita ya uchumi lazima ukiona mtu anataka kukwamisha lazima mmtangulize mbele ya haki na kazi hiyo si ya kiholela ipo na inajulikana kwamba snitch yeyote kwenye masuala ya uchumi lazima alazwe panapostahili, ndo maana namsapot Waitara, sasa kama kasema mambo yanavyopaswa kuwa ni lazima kuhojiwa na polisi?
 
Kwanini jeshi la polisi lisimkamate tundu lissu?? Huoni kwamba anachokifanya ni hatari sana kwa usalama wa nchi??

Ok umesema kwamba chombo pekee cha kutoa haki ni mahakama sasa mbona umejitekenya na kucheka mwenyewe... Kwann lissu asiende kutafuta haki mahakamni??? BBC, Dw imekuwa mahakama??? Unahisi nani analeta hatar ya kiusalama hapo???

Anachokifanya lissu ndo namna masuala yanavyosuluhishwa???? Je huyu nae anaitwa mwanasheria na mbunge atiiii!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alistahili kufungua case Kati ya Mhe Lissu na serikali?
Unajua nini wajibu wa serikali Kwa taifa na watu wake?
Usijaze kichwa kamasi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishakuwa ni msaliti kwenye inchi yoyote ni lazima utiwe kiberiti.kama lissu alipaswa kutiwa kiberiti zamani mnooo,tena ashukuru yupo ni tanzania, angekuwa mrusi wangeshamfanya marehemu zamani sana aswa kipindi hichi anavyo angaika na ulaya.
 
kwani kamtaja jina huyo adui ambaye tunapigana naye vita ya uchumi?
kwanza nikuoneshe kwamba umeleta uzi kwa ushabiki wa kimapenzi ya siasa, ni kweli kabisa kwenye Vita ya uchumi lazima ukiona mtu anataka kukwamisha lazima mmtangulize mbele ya haki na kazi hiyo si ya kiholela ipo na inajulikana kwamba snitch yeyote kwenye masuala ya uchumi lazima alazwe panapostahili, ndo maana namsapot Waitara, sasa kama kasema mambo yanavyopaswa kuwa ni lazima kuhojiwa na polisi?
Hebu wewe kada wa Lumumba ngoja nikuulize swali dogo tu, hivi kwanini Afrika Kusini ya enzi hizo pamoja na kujenga miundo mbinu ambayo hakuna Taifa lolote la Barani Afrika lililolifikia, hivi ni kwanini Dunia nzima iliipinga Afrika Kusini ya enzi hizo ya ukaburu??

Lazima ukubali kuwa kwenye vita yako ya uchumi, haiwezi kuwa "excuse" ya "kuwapyupyu" watu wako kwa kisingizio cha kupigana vita ya uchumi!
 
nauliza katika maelezo yake kamtaja Tundu lissu? Tuanzie hapo tuache kubuni mambo , au Tundu lissu ndo adui wa uchumi wetu?
 
Ukishakuwa ni msaliti kwenye inchi yoyote ni lazima utiwe kiberiti.kama lissu alipaswa kutiwa kiberiti zamani mnooo,tena ashukuru yupo ni tanzania, angekuwa mrusi wangeshamfanya marehemu zamani sana aswa kipindi hichi anavyo angaika na ulaya.
Kwa kweli hivi sasa "watu wasiojulikana" mnaanza kujitokeza waziwazi kabisa na tunaanza kuwajua!

Kumbe ndiyo maana mnakataa kabisa kuleta wachunguzi kutoka nchi za nje kuja kuchunguza tukio la Lissu??

Mnajua wazi kuwa mtaumbuka na kuwa MWISHO WA UBAYA AIBU!
 
Back
Top Bottom