Inategemea faculty gani unasoma.
Kuna course zingine zinahitaji sana fedha ili uweze ku-deliver vizuri projects mbalimbali na presentations.
Hivyo unaweza kuta hata fedha ya boom isitoshe kwa lolote.
Huyo alipewa mkopo kimakosa, alikua na uwezo wa kujigharimiaKwa nini mwenzako atumie pesa hiyo kufanya vitu vikubwa then wewe ushindwe?
Yani 250k kwa mwezi unataka utumie Kufungua biashara au????Kikubwa cha maana nilimtumia bi mkubwa tu vihela flani..Nikajununulia PC na Smart phone.. Mwaka wa 3 nikaenda kupanga kitaa.. Nikanunua Kitanda..friji..TV na Sofa include viitu vingine vya ndani lakini hapo nilikuwa na Demu mmoja tuLaiti kama ningekuwa mtu wa gambe na mademu ooho hela ile ningeitumbua yote
Hizo story tu mkuu...!! Ile hela hata sio kitu ukitaka ufanye kitu angalau kionekane lazima Ujinyimee sanaa yani sanaaa unakondeana balaa..Mbona kuna wengine shuhuda zao huonesha walifanikiwa kupitia pesa ya boom?