Umeniwahi.Moja kati ya kazi ngumu Duniani ni kuishi na kiumbe mwanamke......pamoja na manufaa na faida lukuki lakini muumba ametuletea dhahama wanaume Duniani.......
Ama kweli ukiona unaanza kuwaelewa wanawake basi ujue huna Siku nyingi za kuishi hapa Duniani....
Salaam wakuu, niende kwenye mada. wakuu hivi ikiwa mume(wandoa) ana tabia kama hizi maana yake huwa ni nini anajaribu kuwasilisha ujumbe gani. Mimi nina huyu mume wangu ambae hana wivu na mimi, yuko bize the whole week hana siku ya mapumziko kukaa nyumbani. He never go out with me, hata kazini kwake hajawahi kunipeleka. Nina maamuzi ya kufanya chochote, kwenda popote, na yeyote, mda wowote, sometimes ananiagiza mahali hata mda wa usiku.. He just doesn't care at all, na wala haulizi yani sio shida zake kabisa!! Nimeongea nae hadi nimechoka.
Wanawake wenzangu Kuna ambae unapitia haya na bado unavumilia? Umewezaje!? Na kwenu wanaume mwenza akifanya haya ana maana gani? Nahitaji ushauri wenu please.
Ukiwa busy na kazi ni shida, ukiikosa na hiyo kazi ni shida tupu. Tuishi nao kwa akiliMoja kati ya kazi ngumu Duniani ni kuishi na kiumbe mwanamke......pamoja na manufaa na faida lukuki lakini muumba ametuletea dhahama wanaume Duniani.......
Ama kweli ukiona unaanza kuwaelewa wanawake basi ujue huna Siku nyingi za kuishi hapa Duniani....
Mkibanwa banwa sana mnalalama msipobanwa banwa mnalalama mnataka nini?Salaam wakuu, niende kwenye mada. wakuu hivi ikiwa mume(wandoa) ana tabia kama hizi maana yake huwa ni nini anajaribu kuwasilisha ujumbe gani. Mimi nina huyu mume wangu ambae hana wivu na mimi, yuko bize the whole week hana siku ya mapumziko kukaa nyumbani. He never go out with me, hata kazini kwake hajawahi kunipeleka. Nina maamuzi ya kufanya chochote, kwenda popote, na yeyote, mda wowote, sometimes ananiagiza mahali hata mda wa usiku.. He just doesn't care at all, na wala haulizi yani sio shida zake kabisa!! Nimeongea nae hadi nimechoka.
Wanawake wenzangu Kuna ambae unapitia haya na bado unavumilia? Umewezaje!? Na kwenu wanaume mwenza akifanya haya ana maana gani? Nahitaji ushauri wenu please.
Uko wapi tumsaidie?Ni kama simba anaekula majani kwakukosa windo. Anakula tu ili asife
hahahaha , ganda la ndizi
kataa PapuchiAisee naona anaufuata ushauri wa mwenyekiti dronedrake, View attachment 2499114
Ndoa ni utapelihamjui mnataka nini
Kataa Ndoa
Ni Ujambazi uliorasimishwa na vitabu vya diniNdoa ni utapeli