Ni kwamba Dr Slaa katoswa au?

Ni kwamba Dr Slaa katoswa au?

Inaonekana wewe hujafatilia ajenda za kikao kile ndio maana unasema haya!

Kuna mambo mbalimbali yenye maslahi kwa taifa yaliyo jadiliwa, nikupe tu mfano;

Kuna teknolojia imetambulishwa nchi, inaitwa Tele Piercing, kama sijakosea, ila namna inavyofanya kazi ni kama ifuatavyo;

Teknolojia hii ni mahususi katika kukabiliana na tatizo la upungufu wa walimu nchini, kwani kifaa hicho kitafungwa kwenye mashule yapatayo 150 kote nchini, hasa zile zenye upungufu mkubwa wa walimu. Lengo hapa ni kuwezesha mwalimu mmoja, labda aliepo Dar, kuweza kufundisha watoto wote kwa wakati mmoja kwenye mashule yote 150 ambayo yamefungwa kifaa hicho.

Hivyo, kufanyika kwa mkutano huu kumeleta tija kubwa kwa taifa, na sio vyema kupotosha mkuu.

Hapo kwenye red nimeipenda hii. Mungu anisaidie niweze kuishi kuyaona hayo nmaajabu hapa Tanzania. Wasiwasi wangu ni je? wanafunzi wangapi huko mavijijini watasaidiwa na mradi huu? au utaishia mijini tu? maana huo umeme wenyewe haujafika vijijini..........
 
Inaonekana wewe hujafatilia ajenda za kikao kile ndio maana unasema haya!

Kuna mambo mbalimbali yenye maslahi kwa taifa yaliyo jadiliwa, nikupe tu mfano;

Kuna teknolojia imetambulishwa nchi, inaitwa Tele Piercing, kama sijakosea, ila namna inavyofanya kazi ni kama ifuatavyo;

Teknolojia hii ni mahususi katika kukabiliana na tatizo la upungufu wa walimu nchini, kwani kifaa hicho kitafungwa kwenye mashule yapatayo 150 kote nchini, hasa zile zenye upungufu mkubwa wa walimu. Lengo hapa ni kuwezesha mwalimu mmoja, labda aliepo Dar, kuweza kufundisha watoto wote kwa wakati mmoja kwenye mashule yote 150 ambayo yamefungwa kifaa hicho.

Hivyo, kufanyika kwa mkutano huu kumeleta tija kubwa kwa taifa, na sio vyema kupotosha mkuu.

Kujua habari ni suala lingine, na kuifanyia kazi ni suala la pili. Uzoefu unaonyesha kuwa yote yatawekwa kabatini kama jadi ya viongozi wetu. Je upewe mifano ya habari/ahadi nzuri ambazo taifa limeambiwa tangu enzi hizo lakini michakato bado inaendelea miaka nenda rudi?
 
WanaJF!

Hivi karibuni Tanzania ilikuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa ulioenda kwa jina '2013 GLOBAL SMART PARTNERSHIP' ambao uliongozwa na rais Jakaya Kikwete uliofanyika hapa Dar es salaam. Mkutano huu ulihusisha wadau mbalimbali wakiwemo marais, mawaziri, wafanyabiashara wakubwa, wanasiasa na watu mashuhuri.

Ni mkutano ulioipa Tanzania heshima ya kipekee sana katika historia ya nchi yetu, hasa ukizingatia ujumbe wa mkutano huo na ajenda mbalimbali zilizo jadiliwa zenye kulenga kuiwezesha nchi yetu kufanya mapinduzi ya teknolojia ya habari na mawasiliano.

Jambo lililo nishangaza kwenye mkutano huo ni kukosekana kwa uwakilishi wa vyama vya siasa hasa vya upinzania, ukizingati mambo mengi yaliyo jadiliwa yana athiri taifa letu hasa kwenye nyanja ya teknolojia. Kwa vyama vingine sitaweza kuvijadili kwa kuwa ina semekana ni CCM-B, lakini ilikuwaje CHADEMA hakikushiriki?

Kama itakumbukwa, April 8, 2013, Dr Slaa alishiriki kwenye mkutano wa CEO Round Table, na nilimpa pongezi sana kwa kushiriki kwake kwenye mkutano huo, kwani ajenda ilikuwa inazungumzia 'PUBLIC PRIVATE PARTNERSHIP', ambayo ni ajenda nzuri na yenye tija kwa taifa. Lakini iweje hii ya GLOBAL SMART PARTNERSHIP asishiriki? ni kwamba serikali imemtosa au yeye hakupenda kujihusisha na mambo ya serikali?
hujijui hujitambui bado ugonjwa haujakutoka tutamwambia dr akuandikie dawa zingine umeanza kusahau ugonjwa wako uandishi wako wa kujijibu ni uleule hivyo hutusumbui afadhari tulikufukuza
 
Inaonekana wewe hujafatilia ajenda za kikao kile ndio maana unasema haya!

Kuna mambo mbalimbali yenye maslahi kwa taifa yaliyo jadiliwa, nikupe tu mfano;

Kuna teknolojia imetambulishwa nchi, inaitwa Tele Piercing, kama sijakosea, ila namna inavyofanya kazi ni kama ifuatavyo;

Teknolojia hii ni mahususi katika kukabiliana na tatizo la upungufu wa walimu nchini, kwani kifaa hicho kitafungwa kwenye mashule yapatayo 150 kote nchini, hasa zile zenye upungufu mkubwa wa walimu. Lengo hapa ni kuwezesha mwalimu mmoja, labda aliepo Dar, kuweza kufundisha watoto wote kwa wakati mmoja kwenye mashule yote 150 ambayo yamefungwa kifaa hicho.

Hivyo, kufanyika kwa mkutano huu kumeleta tija kubwa kwa taifa, na sio vyema kupotosha mkuu.

Sina uhakika kama kuna mtu kashakujibu katika hili kwa kuwa sikuona haja ya kupitia comments zote. Hilo hapo juu kwenye red asilani halitawezekana tanzania. kwa shule zipi? kwa umeme upi? tumeshindwa kuweka madawati kwenye shule zetu, je hiyo technologia ghali tutaiweza? Wanafunzi wanasoma chini ya mti huku wamekaa kwenye mawe utawawekea wapi huo mfumo? kijiji kizima hakina umeme wala sola.
Naunga mkono kuwa huo mkutano ulikuwa ni sherehe ya kula na kunywa na kujiandikia poshi za kutosha.
 
Mkuu, hicho kifaa kitakuwa kwenye screen kubwa sana yenye uwezo wa kuonyesha hata chunusi/kipele yako mkuu.

Pia itakuwa na kitufe endapo mwanafunzi ana swali la kuuliza.

Lakini kama hiyo haitoshi, mwanafunzi anapo uliza swali, ataonekana kwenye shule zote 150 zitakazo fungwa kifaa hicho.

Mkuu, wewe unaelewa changamoto iliyopo juu wa walimu wetu, ni vyema huu mfumo utumike huku serikali ikiendelea na jitihada zingine za kuweka mazingira bora kwa walimu.

Huo umeme uko wapi?

Hao wataalamu wako wapi?

Huduma yenyewe ya internet ndo hii hii ya kibongo wanataka kutumia?

Na huu mfumo umeshatumika wapi na nini mafanikio yake?
 
WanaJF!

Hivi karibuni Tanzania ilikuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa ulioenda kwa jina '2013 GLOBAL SMART PARTNERSHIP' ambao uliongozwa na rais Jakaya Kikwete uliofanyika hapa Dar es salaam. Mkutano huu ulihusisha wadau mbalimbali wakiwemo marais, mawaziri, wafanyabiashara wakubwa, wanasiasa na watu mashuhuri.

Ni mkutano ulioipa Tanzania heshima ya kipekee sana katika historia ya nchi yetu, hasa ukizingatia ujumbe wa mkutano huo na ajenda mbalimbali zilizo jadiliwa zenye kulenga kuiwezesha nchi yetu kufanya mapinduzi ya teknolojia ya habari na mawasiliano.

Jambo lililo nishangaza kwenye mkutano huo ni kukosekana kwa uwakilishi wa vyama vya siasa hasa vya upinzania, ukizingati mambo mengi yaliyo jadiliwa yana athiri taifa letu hasa kwenye nyanja ya teknolojia. Kwa vyama vingine sitaweza kuvijadili kwa kuwa ina semekana ni CCM-B, lakini ilikuwaje CHADEMA hakikushiriki?

Kama itakumbukwa, April 8, 2013, Dr Slaa alishiriki kwenye mkutano wa CEO Round Table, na nilimpa pongezi sana kwa kushiriki kwake kwenye mkutano huo, kwani ajenda ilikuwa inazungumzia 'PUBLIC PRIVATE PARTNERSHIP', ambayo ni ajenda nzuri na yenye tija kwa taifa. Lakini iweje hii ya GLOBAL SMART PARTNERSHIP asishiriki? ni kwamba serikali imemtosa au yeye hakupenda kujihusisha na mambo ya serikali?
sio lazima
 
Mkuu, tuwe wazalendo, hatuwezi kuipuuza Tanzania mpaka hapo hiyo furaha yenu ya Dr Slaa kutawala ifike. Kwani Tanzania ni bora zaidi kuliko awa wanasiasa wetu. Ilipaswa washiriki ili wakatoe michango yao!
kama mkuu anasema hajui kwa nini Tanzania ni masikini atatusaidia nini ili yuondokane na umasikini tulionao.lazima kumpata mtu anaejua kwa nini tanzania ni masikini, hivi ujamsikia Dr Silaa akisema umasikini wetu unatokana na nini?acha ushabiki uwe mkweli
 
Uchoyo na Ulafi wa CCM utawakufuru... Huyu Rais Mwenyewe hana zaidi ya Miaka 2; na Unajua walikuwa ni Marais Mbalimbali lakini wa Kenya hakutokea; wa Rwanda zii; wa Malawi kapotea; kwahiyo Usifurahie kisichosimama...

Unafiki ndio KOSA
Mkumbushie kile kikao cha marais wajanja, Kenyatta, Musseveni na Kagame, mbona mwezao hakuonekana? Au ndiyo hana mchango katika EAC?
 
Back
Top Bottom