Mwanamke kumtongoza mwanaume siyo jambo la kawaida kabisa kwenye jamii yetu ya Tanzania ndiyo maana inapotokea inabidi kutafuta ushauri. Kuna dada amekuwa akinipigia simu za kunitaka niwe naye kimapenzi toka januari mwaka huu lakini nimeshindwa kukutana naye kutokana na mimi kubanwa na shughuli nyingi. Huyu ni mwanafunzi wangu kwenye chuo kimoja nilichokuwa nikifundisha mwaka jana kwa sasa ameshamaliza na anafanya kazi. Binafsi siikumbuki sura yake lakini jina nalikumbuka, mwanzoni alianza kwa kuniomba nimtafutie kazi kwa madai kuwa haridhiki na mshahara anaopata kwenye kazi yake ya sasa.Nilimuahidi kumpa taarifa za uwepo wa kazi ili afanye aplication endapo ningepata taarifa hizo.Hilo likampa fursa ya kunipigia simu mara kwa mara kuulizia kama kuna updates za kazi. Baadaye uvumilivu ulimshinda na akaamua kuweka nia yake bayana kwamba ananipenda na anataka niwe kifuani kwake hata siku hiyo kama ningeamua kumfuata, binafsi nilistaajabu sana na kumshauri atulie nikipata muda ntamtafuta tufahamiane zaidi jambo ambalo halijatokea mpaka sasa. Sasa leo kaniomba nimtumie nauli aje kwangu kwan ana likizo kazini kwake, hilo pia limenitatiza kwani simfahamu undani wake hivyo nimemjibu kama kweli ana nia ya kuja kwangu ajigharamie kwani mipango yangu ya pesa iko tight sana kwa sasa. Ushauri wenu, je, kama akija nimpokee na nianzishe naye mahusiano kwani sina demu? AU nimpotezee kwani anaweza kuwa malaya?

MAUMIVU YA KICHWA HUANZA POLE POLE....YAKIZIDI MUONE DAKTARI...!!!Ndugu,hata shetani au kishawishi huanza pole pole.Ushauri wangu,mwambie asije kwako, na wewe umwelelze kuwa utamtafuta na ukisha pata nafasi muite sehemu ambayo kuna watu wengi ili isiwe na urahisi wa kufanya na mapenzi...LA SIVYO...KIFO HICHOOOOO hasa UKIMWI.Akija,hakyanani haumuachi!!!wewe hapo wala usijiulize mara mbili mbili chakachua K hiyo ila under one condition; we are just gona be frends with benefits nothing more.
MAUMIVU YA KICHWA HUANZA POLE POLE....YAKIZIDI MUONE DAKTARI...!!!Ndugu,hata shetani au kishawishi huanza pole pole.Ushauri wangu,mwambie asije kwako, na wewe umwelelze kuwa utamtafuta na ukisha pata nafasi muite sehemu ambayo kuna watu wengi ili isiwe na urahisi wa kufanya na mapenzi...LA SIVYO...KIFO HICHOOOOO hasa UKIMWI.Akija,hakyanani haumuachi!!!
Hahahahaah! Mkuu unaomba zali kama hili lingekudondokea wewe.penye miti hakuna wajenzi!! kwa nini hizi bahati haziji kwetu??
NB: kumbe wanaume nao wanaweza kudengua kiasi hiki, mie nlidhani ni mademu tuu wako hivyo lol
Kuna raha ya kuwinda bana...atajiletaje????
Kuwa makini...vya kuchinja ni vitamu zaidi ya kunyonga.
Mdada gani hana hata haya...eti ukae kifuani kwake...huyo anaonyesha mshipa wa noma ulikatika zamani na ana homoni za kiumu huyo. Chunguza ujue keshataka wanagapi...uliza walimu wenzio maana inawezekana kabisa ikawa target yake ni lecturers.
Kwa uzoefu wangu wadada watongozaji wengi ni vicheche.
Huyu anatafuta mkasa, sasa ameshamruhusu mtu apande basi na begi lake kuja kwake likizo nzima, na hamkumbuki sura, hivi haoni hilo ni kukaribisha tatizo? Kwanini asimwombe amtumie picha kwanza amkumbuke? Shauri yake ngoja aje Wassira hapo sijui atakae nae vipi siku 28, kama hakukimbia chumba bwana Mwalimu.Dah...uswahilini wanaita 'mpira unadunda dunda hakuna mchezaji' hiii...
Huyu anatafuta mkasa, sasa ameshamruhusu mtu apande basi na begi lake kuja kwake likizo nzima, na hamkumbuki sura, hivi haoni hilo ni kukaribisha tatizo? Kwanini asimwombe amtumie picha kwanza amkumbuke? Shauri yake ngoja aje Wassira hapo sijui atakae nae vipi siku 28, kama hakukimbia chumba bwana Mwalimu.