Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,324
Hivi vyote hivifikii thamani ya k, ndo maana haiuzwi wala haitolewi bureKwahiyo hyo k ina thamani ya vitu vyote alivyotaja
Hivi vyote hivifikii thamani ya k, ndo maana haiuzwi wala haitolewi bureKwahiyo hyo k ina thamani ya vitu vyote alivyotaja
Eeeeeeeh🙁🙁Mke wangu kaniambia kama sina mchepuko ataniacha.
Kaniambia nitafute mchepuko ila nisimuambie, akihitaji kumfahamu atamjua kwa nafasi yake.
Hajawahi kunipa sababu.
ukiwa na pesa faida yke nn?? unaekeza au??Sema output ni kubwa kuliko input... By the way michepuko haina faida kama huna pesa.
ndo hvo.Ungetulia na mkeo yasingekukuta hyo ndo dawa yenu wapenda michepuko kuchunwa kwa kwenda mbele
Ukiwa na pesa unaweza kutoa tu bila kukumbuka...ukiwa na pesa faida yke nn?? unaekeza au??
hahahahahha. kwaiyo na zakichina mtakua nao wawiliwali au?tatizo vidada vya sikuizi vinapenda slope sana... yan iyo papuchi wanaona big issue
mm namsubiri mchina atuletee za kichinaa!! mbona watalia machozi ya damu!
ukiwa na pesa faida yke nn?? unaekeza au??
Bro nimempenda mkeoMke wangu kaniambia kama sina mchepuko ataniacha.
Kaniambia nitafute mchepuko ila nisimuambie, akihitaji kumfahamu atamjua kwa nafasi yake.
Hajawahi kunipa sababu.
maelezo mengi point zero.Unampa wife space...
kama hayuko in a mood
au yuko na stress unampa 'nafasi ya kutosha'
humsumbui sumbui.....
mke akiwa likizo ya uzazi..
au kasafiri.....
faida ziko nyingi hujui au unajifanya hujui?



Wajinga hao wanaouanaVya mchina havina raha km original...ujui hd watu wanauwan sbb ya hii kitu
maelezo mengi point zero.![]()