Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

1.Nina mdogo wangu wa kiume huwa anatembea haangaliagi.Basi siku hiyo asubuhi nikaskia puu nkaropoka huku natoka nje na ukome mana huangaliagi unatembea kama huna macho Laaahaula!kutoka nje ni mdingi kateleza akaanguka nlisikiaje aibu halafu na yeye akanambia sawa bhana.
Ikabidi nijitetee ila niloona aibu na kujiskia vibaya
Mpaka leo nikikumbuka najiskia vibaya japo yeye alielewa

2.Najuta kusoma course ambayo niliisoma tu kwasababu ntakuwa na uhakika wa kupata ajira mapema lakini looo!mpaka sasa nang'aa sharubu
 
kosa nalojutia ni kukutana na mpenza wangu wa kwanza toka nipo sec, kilichotutenganisha niliama shule, sasa tumekutana tena sasa ninampenda kupitiliza ila sitakubali anivue chupi, sababu nimeshaolewa na nina watoto wawili nae kashaoa, ila wote tunapenda na nimemkisi mala kibao sababu lips zake nitamu kwa kukisi....
 
najutia mengi sana ndugu yenu yani natamani ningerudi utoto. .
1.najuta kudisco chuo ningejua nisingeenda chuoni kabisa
2.najuta kumkosa mwanamke wa ndoto zangu baada ya kumzingua nkajua atakuja tu maskini kumbe ndo kashtuka hakurudi tena na kaolewa
3.mwisho wa yote KUBALEHE ndo chanzo cha majuto yoote
 

Siku Kifuko cha Protin Kikijaa Chupi utavua Mwenyewe. Kwny Genye hata Madikteta wanatepeta itakuwa wewe!
 
nilipopoteza bikra yangu kwa mwanaume ambaye cye mume wangu akat nlikua na mchumba ambaye ndiy nliefunga ndoa nae kwa sasa bora angeitoa mme wangu.Na matokeo ya dhambi hiyo ni kuharibika kwa uhusiano wang na Mungu.Jaman ningerud utto mim cjui japo watu wanadai bikra ni ushamba lakin ckwela! bikr THAMANI kubwa mabint jitunzen
 
Kipindi mdogo enzi hizo mhuni nipo darasa la 4 tulienda kuogelea kwenye mto na kuvua samaki na marafiki basi katika kuogelea kuna rafiki yetu mmoja alijifanya mtaalamu sana wa kuogelea akaenda hadi kwenye kina kirefu bahati mbaya akaanza kuzama ila matokeo yake badala ya kumuokoa tukaanza kuhesabu ile anavyozama na kuibuka huku akinywa maji yani ile Cha kwanza,cha pili,tatu,nne cha tano hakuibuka tukasikilizia kwa muda ila kuna mmoja akajitosa kwenda kumtoa akafadikisha ila Jamaa alikuwa kavimba tumbo kama mimba ya miezi 9 tukaanza mchapa na mchanga mpaka maji yakaisha alikuja zinduka baadae na jamaa akajiapiza hatorudi tena ila ile taswira ya yeye kuzama huku tukicheka ilinitesa kwa miaka kadhaa mana nilikua naota jamaa kashapoteza maisha mara kawa mtu wa ajabu yaani mauzauza kibao...nina matukio mengi ila hili ndo lilinitesa sana japo nalikumbuka kwa mbali na haliniletei madhara
 
NAJUTIA KUZALIWA TZ NATAMAN NINGEZALIWA DUBAI AMA USA
Kila kibaya kuna uzuri wake.....na kila kizuri kina ubaya wake
Tanzania pamoja na ubaya woote lakini uzuri wake tunaishi kwa utulivu,hatubagui wageni yaani mchina ni Ruksa kuchoma mahindi n.k, sheria zake zinawalinda both wema na waovu na zaidi ya yote tunapinga ushoga na kuruhusu bikra zitumike
Wakati Dubai pamoja na uzuri woote kuna element za kibaguzi lakini pia wanakataza matumiz ya bikra na kuruhusu kuzibua vyoo wakati wa starehe
USA nao rasmi wamerasimisha zoezi la kumong'oana kwa wanaume na si ajabu wanawake kuzibuliwa misuri, and More ni wabaguz wa mtu mweusi ....imagine ungezaliwa US lakini ukawa mweusi ......!!!
PAMOJA NA MAGUMU TULIYONAYO TUSIIDHARAU TANZANIA TUIPIGANIE TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…