wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 804
Wakuu turejee,
Tunajua kua Watanzania ni watu wapenda amani na ni watu wenye roho nzuri wa kutokupenda makuu.
Hata uhuru wetu tulipata kwa njia ya amani. Hatuna historia ya kua wakorofi. Tanzanians behaviour as a culture is totally all about humble and peace.
Tofauti na nchi jirani ambapo watu wako reactive sana kwenye issue yoyote inayogusa uchumi au siasa.
Je, ni kitu gani kinachomfanya Mtanzania anakua hivi, na ni faida gani tunapatabkwa kuwa na hii behavior. I hope ni tabia nzuri ila sijajua kama ina madhara au faida.