Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Mi+naona ni+ile asili ya mwanadam ya kutenda dhambi ndo inasababisha wa2 kuwa na mwanamke zaid ya mmoja. So wa2 wanatakiwa ku2bu na kumrudia mungu

kanuni ya uumbaji ni kijike au kidume ni kuwa na zaidi ya mmoja
ila baadae MUNGU AKAONA TUNAITUMIA VIBAYA FURSA HIYO
na ndiyo maana wengine wanaendeleza.......
 
wengine wakijifanya hawawezi kuwa na wawili wakati wao ndio wenyewe wana watano kwa mpigo loh.....ilimuradi hawana gharama nao
 
Asante kwa kupata nfasi ya kuchangia hili, ndoa ni commitment, kama ni nani hii ni ile ile tusidanganyane hapa, tatizo ni TAMAA. Nadhubutu kusema hivo maana wanajisifia kujua majambos wengine hawana wanaota ndoa na wengine kutalikiwa.

Naamini kwamba kuna uwezekano mkubwa watu wengi si wanawake/wasichana au wababa/boys hatujui waht we are looking for, even we dont have a proper definition ya tendo la ndoa lipi tamu na lipi siyo. It needs wisdom to behave as a human being in a real context.

Kuna mtu analinganiosha MTU na simba/mbwa/jogoo nadhani ni kujidharau kiasi cha juu sana.

Wenye biblia waome Mhu 9:7-11

:love:
 
tatizo kwa nchi yetu kuu ni kutokuwa busy au kutokuwa na kazi maalum ya kufanya,jambo lingine ni utandawazi kwa wanawake kwa suala la mavazi.by me udom
 
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!

Kinadharia hilo jambo halina sababu maana hatupaswi kufanya hivyo. Katika hali halisi tunakuwa na wapenzi wengi na sababu zipo zakutosha:
1. Mahusiano mabaya na mpenzi au mkeo
2. Kuwa na pesa nyingi kiasi unaona kuwa unastahili kupata zaidi ya unachopata
3. Maumbile; Kuna wenzetu ashiki zao ziko juu sana kiasi kwamba kupata toka kwa mkewe kila siku inakuwa ngumu. Mke anachoka.
4. Kwa akina dada hali ya uchumi pia huchangia. Anajikuta anaenda na wengine ili kupata zaidi
5. Mkumbo wa marafiki na makundi. Rafiki zako wanafanya hivyo na inakuvutia pia kuwa kama wao.
6. Ziko nyingine nyingi tu.
 
Wana JF naomba ushauri wenu ni jinsi gani naweza tulia na mpenzi mmoja. Nimejikuta mpaka sasa hivi nina list ya msululu wa wapenzi na ugonjwa huu naona utanipeleka pabaya, ni meisha jaribu warefu, wanene, wembamba, wembamba sana sana, wanene sana, weupe, weusi lakini bado najikuta kila kukicha nikiona kitu kipya napagawa. Jamani naombeni ushauri.
 
Acha tamaa na jifunze kuuendesha matamanio yako badala ya kuyaacha yenyewe ndo yakuendeshe!!Kua na msururu wa wanawake sio sifa ni kutafuta magonjwa!
 
Acha umalaya utazunguka bucha zote lkn nyama ni ile ile (zote zinatoa damu na ni nyekundu) sitaki maswali ktk hili
 
Pole sana kwa tatizo lako.
watanzania tumekua tukichukulia kila kitu kua ni simpo na mtu anaamua kufanya na anaweza kuacha. in fact kuna mambo ambayo ni more psychological lakini watu wanaona mtu anafanya makusudi. mambo hayo ni kama uhuni uliokithiri, kukojoa kitandani, kunywa pombe au kuvuta sigara kupitiliza, kushindwa kudumu katika mahusiano, na mengine mengi. Hiyo ni imani potofu na imesababishwa na sisi kutojua kitu kinachoitwa Psychological disorders/ problems. Ninachoweza kukushauri kaka ni kutafuta msaada kwani tatizo lako laweza kua linasababishwa na unconscious mind yako genetically kwa hormones, sexual abuse, traumatic experience, au faulty ya cognition. kwa msaada tuandikie, psychologicalsupport@hotmail.com
 
Kama alivyosema mdau, wewe ni sexual addict. Unahitaji counselling, sijuhi kama kuna wataalamu Tz wa kurekebisha tabia.

Thanx kwa kutoa mwanga katika hili
 
Tanzania ikiwa na watu 100 kama wewe,tutaendelea sana!
Wengine walikua wamesha anza kusema "umalaya" duh,...ndo maana watu wanakufa kimya kimya
coz wakisema wataambiwa vingine!
 
Kaka nitafanya hivo nashukuru sana kwa ushauri wako madhubuti naona wachangiaji wengine wamenishambulia lakini naona nina tatizo la kisaikologia.
 
Tatizo hili limenitawala mpaka nashindwa kuamini kwamba kuna uwezekano wa kuwa na mtu mmoja! actually i don't believe in monogamy??
 
Tanzania ikiwa na watu 100 kama wewe,tutaendelea sana!
Wengine walikua wamesha anza kusema "umalaya" duh,...ndo maana watu wanakufa kimya kimya
coz wakisema wataambiwa vingine!

Speaker nashukuru pia kwa kunipa nguvu kweli nimeamini kwenye msafara wa Mamba na Kenge wamo na ndo ivo nilivo ona hapa kuna wadau wanaichukulia hii hali yangu kama najitakia na wameniukumu kwa mie kuwa muwazi na nimeamua kuweka mambo hadharani nikijua JF kuna watu wanafikiri na watanipa ushauri. Big up Speaker!
 
Back
Top Bottom