Hahahhahaaaaaaa dahzafanana.....kwapa vs papuchi. kuwa mpole.
Hakikisha kwapa lako Ni Safi,yaani umenyoa nywele zilizoota na kuwa Kama uso.Kisha hakikisha unavaa nguo za cotton.Check Kama una kisukari au Kama una umri kuanzia miaka 40 na Ni mwanamke inaweza ikawa Ni dalili ya menopause.Otherwise jasho huwa linaashiria kina activities nyingi zinaendelea mwilini.Kama jasho halitoi harufu sizani Ni Tatizo kubwa Kama ukizingatia kanuni za afya Kama nilivyokushauri
Mmmh kwa Dar huu ushaur una hasaraPia jenga tabia ya kuvaa kitu kingine ndani kabla nguo kuu, mfano aina fulani ya fulana au kiblauzi chenye material ya fulana fulana, maana yake ni kwamba jasho linapotoka linaishia kwenye hiyo 'fulana' kabla kutoka au kusikika nje
Hahahahahaha muonezafanana.....kwapa vs papuchi. kuwa mpole.
Kweli lakini.hahahahahaha muone
Kwa jasho ambalo linatoa harufu, ata kama umetoka kuoga dakika 15 zilizopita lakini ukitembea dk 3 tu linatoka na harufu inasikika ??Hakikisha kwapa lako Ni Safi,yaani umenyoa nywele zilizoota na kuwa Kama uso.Kisha hakikisha unavaa nguo za cotton.Check Kama una kisukari au Kama una umri kuanzia miaka 40 na Ni mwanamke inaweza ikawa Ni dalili ya menopause.Otherwise jasho huwa linaashiria kina activities nyingi zinaendelea mwilini.Kama jasho halitoi harufu sizani Ni Tatizo kubwa Kama ukizingatia kanuni za afya Kama nilivyokushauri
Bei gani hizi?Tafuta hizi deodorant,huto sweat na zinatoa weusi makwapani...you'll never regret
😂 😂 😂 😂 😂zafanana.....kwapa vs papuchi. kuwa mpole.
Tembea huku umenyanyua mikono kama baunsaHabari wakuu,
Naombeni ushauri wenu. Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani.
Jasho linanifanya nakuwa uncomfortable kiasi kwamba nashindwa kuvaa baadhi ya nguo maana nikianza tu safari, ndani ya dk kumi kwapa linaanza kuloa.
Japo na admit, jasho langu halina harufu na deodorant ninayoumia ni nivea.
Mwenye msaada wa kufanya kwapa lisitoe jasho kabisa.
Natangulisha shukrani.
Habari,Habari wakuu,