DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Who care❌Who care?
I don't care.Who care❌
Who cares ✅
Kitu ambacho hakipo lakini watu wanadhani kipo ni watu kudhani kuwa CCM inaleta maendeleo kumbe siyoNimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?"
Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka"
Wewe je?
Ndio maana ukawa mshabiki wa Raymond Reddington hapo.😂Huwa sina tabia ya kufikiri kama watu wanawaza kuhusu mimi
Hata mimi nakataa japo sikujui..nikishaonaga mtu yuko JF huwa nakadiria ni amepunvua sana basi ni diplomaPesa/Elimu/Mtoto
Hata mtu nikimwambia sina hela au sijasoma anakataa katakata
You need to care enough to go back to school and take a grammar class.I don't care.
Who cares!!!Who care❌
Who cares ✅
Kwa nini kaka?Ndio maana ukawa mshabiki wa Raymond Reddington hapo.😂