Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Mwanza hapana?
Niko karib sana na majeshi. Habar hiz zingezunguka jeshini sana.
Anyway kusema spetsnaz ndio specal force bora.. unakosea sana.
SAS wana ndio wana kuwa considered the best on the field.
Wao ndio waasis wa special forces za america.. canada, new zealand, south africa, astralia.. na baadhi ya nchi za asia. Moja ya mambo yanayowabeba ni experience on the battle field.
Basicaly wakianza mwaka 1940, while spetznas 1950.
Selection course ya SAS ni ngumu kiasi kwamba 92% hufeli training.
Almost rate ya watu kufa kwenye mafunzo watatu na kuendelea, na hawa ni askari kutoka kwen ye vikosi vingine.
SAS tier 1 group.

mwanza mwaka jana walikuwepo SPETSNAZ sijui kama bado wapo mpaka sasa

na nadhani spersnaz ndio special force bora zaidi ulimwenguni kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza hapana?
Niko karib sana na majeshi. Habar hiz zingezunguka jeshini sana.
Anyway kusema spetsnaz ndio specal force bora.. unakosea sana.
SAS wana ndio wana kuwa considered the best on the field.
Wao ndio waasis wa special forces za america.. canada, new zealand, south africa, astralia.. na baadhi ya nchi za asia. Moja ya mambo yanayowabeba ni experience on the battle field.
Basicaly wakianza mwaka 1940, while spetznas 1950.
Selection course ya SAS ni ngumu kiasi kwamba 92% hufeli training.
Almost rate ya watu kufa kwenye mafunzo watatu na kuendelea, na hawa ni askari kutoka kwen ye vikosi vingine.
SAS tier 1 group.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa waasisi wa special force zingine hakuwafanyi SAS kuwa juu ya spertnaz maana ata spertnaz ndio wanaotoa mafunzo kwa special force ya bulgaria,cuba na nyinginezo

wap SAS wameonesha kuwa wao ni bora kuliko wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa jamii yako unakotoka hamnaga tofauti na ng’ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi mna bahati sana maana mnao uwezo wa kujadiliana na ng'ombe kwenye jukwaa moja la jamii forum.

Yale yale ya Mama kumuita mtoto wake nguruwe, wakati amekaa tumboni mwake miezi tisa na amenyonya mpaka kapata nguvu ya kutembea!.

Rudi kwenye mada achana na huu upuuzi wa kumalizia hasira zako hapa jukwaani.
 
Mbona wanakufa wachache sana kuanzia watatu mi nikajua kuanzia 30 na kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wangekuwa sio elite.. basi hizo nchi zisingewaita kuunda vikosi vyao.
Nchi ulizozitaja ni communist countries.
Sitoshangaa kama ikiwa hivyo.. kwa record tu ni kuwa SAS wametoa mchango mkubwa sana kwenye vita ya pili ya dunia.

Operation Squatter: 16-17 November 1941
Operation Green Room: December 1941
Operation Gaff: July 1944
Operation Begonia/Jonquil: 2-6 October 1943
Operation Wallace: 19 August – 19 September 1944
Operation Tombola: 4 March – 23 April 1944
Operation Houndsworth: 6 June – 6 September 1944

Hizi mission wao wako vitani , zilibadikisha uso wa world war II. . Russia walikuaa hawana hata special forces unit.
Bila kusahau operation nimrod :ilitokea kwenye ubalozi wa iran. Japo hii ilikiwa ni miaka ya 90.

Siwasifii sababu kazi zao zinajieleza vizur sana.. kinachowabeba ni experience na usiri.na nidham.

Sasa niambie ww hao spetznas.. ni the best in the wolrd in what? And how?

kuwa waasisi wa special force zingine hakuwafanyi SAS kuwa juu ya spertnaz maana ata spertnaz ndio wanaotoa mafunzo kwa special force ya bulgaria,cuba na nyinginezo

wap SAS wameonesha kuwa wao ni bora kuliko wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.

SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.

Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa hizo silaha alipewa na jeshi la Kenya au alikuwa nazo ? Kama jibu ni kinyume chake ina maana huwa wana tembea na zana zao kila mahali na kila muda ? Hii ni kutokana na maelezo yako.
 
Nyinyi mna bahati sana maana mnao uwezo wa kujadiliana na ng'ombe kwenye jukwaa moja la jamii forum.

Yale yale ya Mama kumuita mtoto wake nguruwe, wakati amekaa tumboni mwake miezi tisa na amenyonya mpaka kapata nguvu ya kutembea!.

Rudi kwenye mada achana na huu upuuzi wa kumalizia hasira zako hapa jukwaani.

Hujaona watu wakiwasemesha Ng’ombe? Hivi kwa hizo thinking zenu mnatofautiana nini na ng’ombe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa zaidi
British Special Forces always run towards the sound of gunfire. He fired off rounds during the operation. It's a safe bet he hit his target — the SAS don't miss. There's no doubt his actions saved lives,"
insider told the Sun.
 
Taarifa zaidi
"For his own safety he is leaving the country as he could be tracked down. His safety is paramount. He is a decorated, veteran member of the SAS who was a member of D Squadron and extremely active in Syria taking part in a number of successful operations against ISIS. He had transferred to B squadron for this assignment," souce told DailyMail.
 
Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.

SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.

Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siraha na mavazi alipata wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada inaonekana, unataarifa nyingi za mitandaoni tofauti na uhalisia halisi.

Ingekuwa umepita na kujua ABC za majeshi na vikundi maalumu ungeweza kunadika kitu tofauti na hicho kidogo

Lengo si kubishana ila nikujuze kitu kidogo

Nchi nyingi sana zina special forces zao, hata kwetu hapa zipo, na zipo makini sana, tena, na kwa walio wahi kuona mafunzo yao, hayo ha NAVY AU SAS yanasoma kidgo,

Kinachotofautisha ni ishu ya hao ndio watawala, huwezi kuta kuna takwimu, zitazo waonyesha wao wamepitwa , hii ni mbinu ya kijesh na kivita na ni wanavyofanya kuonyesha silaha zao nzito na huwezo wa kijeshi
(kuna sababu nyingi tu hapa ila tusiende huko) .

Data nyingi kuhusu vikundi vya waasi, maharamia n. K zipo cooked nyingi hao majamaaa wameingiza mkono wao.

Yaani weka tatizo, indirectly kisha njoo directly na solution kwa lengo la kupenya sehemu husika. (ukiingia utaona mambo mengi fikirishi humo)

Kuna guys hapa bongo, ambao tukio kama hili wangesolve kwa muda mfupi sana, tu.

Note

Special force wanakazi maalum. Katika vikundi na mafunzo ya kijeshi, yanalevo zake. Kila tukio kuwapeleka special force ni matumizi mabay ya nguvu
( sawa na canter utumie kubebea kerti moja la soda, ingawa maisha ya Raia ni muhimu, ila ni mahesabu madogo tu)

Kuna matukio, ambayo polis wa kawaida anaweza solve, hadi kufikia special force ni hatua kubwa, ila hao jamaa wapo, tena makini sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom