luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
hahaha kenya nao wana special force wao wanaitwa sijui RECC hawa ndio wale walipewa jukumu la kukomboa watu pale westgate lkn ikasemekana wali fail vibaya sanaaa hawa RECC walikuwa trained na US NAVY walipewa mafunzo ya kupambana na ugaidi na hata ktk shambulio la westgate Israel na Marekani walitaka wapeleke special forces pale west gate lkn sijui jirani walikataa nazani safari hii kufanikiwa kwao ni sababu ya uwepo wa hao special forces wa mataifa makubwaa binafsi nawaelewa sana NAVY SEAL