Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Mazee nimejiuliza kwanini Kenya Safari hii imewadhibiti haraka Magaidi Kumbe Kulikua kuna hawa Jamaa wanaotoka katika Most Elite Army Units on Earth

Tukianza na Navy Seal hawa ni Elites Army unit ya Marekani Wanao operate Katika Sea, Air na Land (combat) Interview na Mafunzo ya Navy Seal ni Magumu kuliko kikosi chochote cha Jeshi Ulimwenguni ni Vigumu sana kupambana nao wanajua Sana Kutumia Silaha na Kujilinda kwa kutumia miili yao Katika Tukio la Dusit walikuepo Navy Seal

Kuna British Special Air Service (SAS) hawa huwa hawaonekani Hovyo ni moja ya Vikosi bora wakiwa wamebobea katika mambo ya Kupambana na Ugaidi, na Kuokoa Mateka katlka Tukio la Dusit alikuepo mmoja ambaye alifika na Gari yenye namba za Ubalozi Akiwa na Mavazi ya Kulinda Mwili na Silaha na Alipambana na Magaidi Direct Mpaka Waingereza wenyewe wanashangaa kuwaona SAS wakipambana mchana kwani huwa wanapenda sana kufanya shughuli zao usiku.

SAS na Navy Seals ni watu waliondoka bila hata mkwaruzo wowote.

SAS huyu ana Kisu kipo tumboni hapo kinaonekana hapo kwa ajili ya mapambano ya Mkono kwa Mkono ana Pisto ana Hiyo Bunduki inayoitwa Modified Colt Canada Rifle Japo kichwani hana Helment huku akiwa katupia Jeans.
055A48FC-4FBE-436A-94D2-DCA75E37A6FA.jpeg

E1957F7E-D1C0-4F9A-A760-7797EB1D8832.jpeg

Najiuliza Kwenye Nchi zinazoendelea Elites Forces Unit kama hizi huwa zipo? Je ni kutokana na Uonevu wa Alshaabab Nchini Kenya Waliombwa waanzishe makazi yao nchini Kenya?
 
Correction. SAS huwa ndio unit bora zaid..
Selection ya SAS ni ngumu sana kuliko Navy seals.

SBS(special boat services). Hawa ni pacha wa SAS ila wamebobea kwenye maji.

Huyo unae muona hapo alikuwa off duty, au anaweza kuwa ex-SAS since wanaruhusiwa kustaaf ktk umri mdogo.
Huyu bwana alikuwepo eneo hilo wakati panavamiwa.. si kwamba alitumwa au kenya iliomba msaada hapana.
Ni tukio limemkuta akaamua kutoa msaada since yeye ni expert kwenye counter terrorism.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi kam zakwetu huenda kuwa tunazo. Maybe hawana training kama ya wenzetu.
The thing is hiv vikosi ni vya siri sana kias kwamba members wa huko hawajulikani majina yao.

Uwa wanajulikana baadae wakishatoka nje ya jeshi. Kustaaf au kuacha.

Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce. Hawa jamaa wamekuja kujulikana kwenye tukio la westgate. Hakuna ambae alikuwa akifaham existence yao.

Vikosi vipo. Ila vinafichwa sana kwa usiri mkubwa

Yeah Ni kweli Mkuu SAS ni Zaidi ya Navy Seal
 
uyo ni SAS kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya si kuna kambi ya kijeshi ya Marekani so nikitu cha kawaida, na nchi nyingi wapo hata hapa TZ wapo wengine wanaendeshwa na wajeda nadhani wapo kwa ajili ya training tu
Mara nyingi wanakuwa detached kwenye balozi za nchi husika. Kama ubaloz wa uingereza wanaweza kuwa wapo. Na hii ni standby unit.. pale ubaloxi utaposhambuliwa .. wao wanakuwa wakwanza kumuokoa balozi.. na kumpeleka sehem salama.

Muda mwingine utumika kutoa training kwa majeshi ya nyumbani(japo ni nadra sana).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi kam zakwetu huenda kuwa tunazo. Maybe hawana training kama ya wenzetu.
The thing is hiv vikosi ni vya siri sana kias kwamba members wa huko hawajulikani majina yao.

Uwa wanajulikana baadae wakishatoka nje ya jeshi. Kustaaf au kuacha.

Mfano kuna kikos maalum cha polis kutoka kenya kinaitwa GSU(general security unit) a.k.a recce. Hawa jamaa wamekuja kujulikana kwenye tukio la westgate. Hakuna ambae alikuwa akifaham existence yao.

Vikosi vipo. Ila vinafichwa sana kwa usiri mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo, GSU ilijulikana sana wakati wa moi nikiishi Nairobi
 
Back
Top Bottom