Hawa wauaji wa Kibit ni kina nani?
Mara nyingi, tumekuwa na baadhi ya watanzania (wachache) ambao wamekuwa wakifurahia magaidi wanapotekeleza mauaji hapa Kenya. Wengine wamekuwa wakisema kuwa hili linadhihirisha kuwa KDF ni Jeshi la hovyo kabisa na kwamba TPDF lingekuwa tayari limeshawamaliza hawa al-shabaab.
Baadhi yetu tuliwaambia kuwa hili si janga la Kenya, bali ni la EAC nzima. Mara nyingi mmekumbushwa kuwa kuna baadhi ya vijana wa Kitanzania ambao wamekuwa wakienda kupata mafunzo kule Somalia, ila wengine mlipinga na kusema kuwa Tanzania hamjawakosea Al-shabaab na kuwa hakuna lolote watakalofaidi wakija kumpiga vita. Baadhi yao kama FaizaFoxy walikuwa wakisherehekea hadharani. Cha kushangaza ni kuona kuwa yule aliyekuwa akiwashabikia, ndiye yule yule ambaye anakiri kujawa na hofu baada ya mauaji Kibiti kuwa nyingi Ugaidi Tanzania Unafanikiwa
Hiki ndicho nitawaambia: ombeni kuwa wale wanaotekeleza mauji haya wawe ni watu ambao wako na local issues. Kama vile hapa Kenya tulikuwa na kikundi kilichoitwa MRC - Mombasa Republican Council. Ombeni sawa wasiwe ni wale masehtani ya Al-shabaab au ISIS.