jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,270
- 43,060
Chadema ni mpango wa Mungu,ambao shetani wa kijani anapambana kuuharibu ila hatowezs kawe.
Huko juu anayemzungumzia nyumbu wa mbogamboga mwenye bird mwishoni.Yupi huyo?
Anhaaa! Hebu ngoja aliyeongea aje kuthibitisha ili tujue kitakachofuatia.Huko juu anayemzungumzia nyumbu wa mbogamboga mwenye bird mwishoni.
Hapo umeongea.Anhaaa! Hebu ngoja aliyeongea aje kuthibitisha ili tujue kitakachofuatia.
Yeah, uhakika upatikane kwanza.Hapo umeongea.
Afande Alfonso, Nasema shusha bendera ya chadomo fasta
*Ropoka🤣
Huu uzi lazima aje kulopoka lopoka
Kwa hiyo hutaki nichangie!?..kama unataka nijitoe humu semayule jamaa zamani watu walikuwa wanajua ni demu ila kumbe ni kidume maini, jina lake la mwisho ni bird na anawapenda sana hamas.
Ana shobo sana.
secretarybird unaitwa huku na mwizrael ELI COHEN.🤣
Huu uzi lazima aje kulopoka lopoka yule jamaa zamani watu walikuwa wanajua ni demu ila kumbe ni kidume maini, jina lake la mwisho ni bird na anawapenda sana hamas.
Ana shobo sana.
APPT Maendeleo chama cha Chief Lutalosa Yemba
Hapa hamuna kuputa ni kuputwa😂Mada hii ni puta nikupute. enzi za shule utotoni; Jamaa anakaa kati na mchanga mkononi baina ya watemi 2 ; anaputisha mchanga ngumi zinaanza upya, hiyo siku ingine endapo pambano la mwanzo halikutoa mshindi
Ngoja tuoneChadema ni mpango wa Mungu,ambao shetani wa kijani anapambana kuuharibu ila hatowezs kawe.