


tupa kuleeee!Kwishaaaaa habari zao
Hiyo ndiyo CCM mupyaaaa undava undava tu.Mapanga na marungu ya nini tena.
DuuuhWanamapanga hao, wanamanyundo hao, watatutoa roho buree. ♫ ♫ ♫
Chereko cherrko Kwa waja wa Mola wakati wa Furaha tena ukaribu atutolia tenaMungu ni mkubwa daima
Mama SShuyo shankupe anayechekelea ni nani?



Sasa hivi nao wajanja wanatumia nguvu za giza.Nguvu kuu awajui michezo ya fitina za siasa zaidi ya kutegemea magwanda.Hata wajanja wa bush wataliwa kichwa.
Lowasa ni mtu mjanja sanaAkiona moto unawaka anatimua mbio