Ni Kipanya tena

Ni Kipanya tena

Nmecheka hapo oyaa oyaa oyaa....hahahàhaha EL ndo huyo sasa akili nyingi mno hesabu zake za integral mzee baba atamuelewa tu
 
Mbona wanarudi na silaha, au ndo wanajua huko mbele kuna vita ya wenyewe kwa wenyewe?
 
HAPA LOWASA TAYARI RASMI KUKIUA CHAMA.NA AMERUDI NA WAUWAJI WAKE WAKUU AKIWEMO CYPRIAN MJUSIBA.KAMA HAMJUA MUSIBA ANAPOKEA MSHAHARA MNONO SANA KUTOKA KWA LOWASA KILA MWEZI JAMAA ANAKULA SIO CHINI YA MILIONI 10.
 
Tukiwa bado tunaendelea na kushuhudia songombingo ndani ya lumumba leo tena msanii nguri Kipanya katuletea kikatuni kingine ambacho binafsi nimeshindwa kukielewa.

Naomba tafadhali mwenye uelewa atusaidie kutwambia alikusudia kuwakilisha ujumbe gani haswa!View attachment 1166801
Hakuna hoja zaidi ya vioja!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom