Musa=MasoudYule msanii matata Musa KIPANYA amekuja na picha ngumu kuweza kuitafsiri. View attachment 1227391
simple sana hii kwakweli maana yake ni kwamba anayeshikiria kiti hicho cha urahisi tayari keshakitumikia ila bado anatamani muhula mwingine tena amabao una kilevi kuliko hiki cha sasa matokeo yake ni kuanguka chali na kuabikaYule msanii matata Musa KIPANYA amekuja na picha ngumu kuweza kuitafsiri. View attachment 1227391
simple sana hii kwakweli maana yake ni kwamba anayeshikiria kiti hicho cha urahisi tayari keshakitumikia ila bado anatamani muhula mwingine tena amabao una kilevi kuliko hiki cha sasa matokeo yake ni kuanguka chali na kuabika
aliwahi kuseam kuwa siku ya mwisho mungu anamtanguliza shetani halafu anafuata mana siasaHakika hawa wana siasa hawana jema na hawaridhiki kamwe
Pombe haifai kabisa maishani
Tumwage pombe 2020
Yule msanii matata Musa KIPANYA amekuja na picha ngumu kuweza kuitafsiri. View attachment 1227391