Ni Kipanya tena na uchaguzi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,601
94,726
Yule msanii matata Musa KIPANYA amekuja na picha ngumu kuweza kuitafsiri.
Screenshot_20191009-105226.jpeg
 
huo mvinyo nusu gilasi tu unakutoa roho lakini kuna bwege bado anaung'ang'ania kunywa.
walioelewa watusaidie​
 
Pombe tamu bana... asikwambie mtu. Ukimaliza chupa ya kwanza unatamani na ya pili, ya pili inazaa ya tatu ya tatu inaita ya nne..... weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hakika hawa wana siasa hawana jema na hawaridhiki kamwe
simple sana hii kwakweli maana yake ni kwamba anayeshikiria kiti hicho cha urahisi tayari keshakitumikia ila bado anatamani muhula mwingine tena amabao una kilevi kuliko hiki cha sasa matokeo yake ni kuanguka chali na kuabika
 
Pombe haifai kabisa maishani
Pombe tamu bana... asikwambie mtu. Ukimaliza chupa ya kwanza unatamani na ya pili, ya pili inazaa ya tatu ya tatu inaita ya nne..... weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Chupa ya urais inakipimo cha glass 1, kesha ikata nusu na ulevi umesha mpata, lakini anaona bado hajatosheka, kunauwezekano wa kuchakachua - kuongeza urais kupitia Muhula.
 
Hii mbona nyepesi sana? Maana yake ni kwamba: Kwa Nchi za Africa, Muhura mmoja wa Urais una kilevi kiwango cha 700% na ukishaonja tu, unalewa tirarira na kufanya vituko vyote. Pombe ina addiction kubwa na huwezi kuacha (kung'ang'ania madaraka). Ndugu yetu Pombe nae keshalewa na ndio maana kila siku anawauliza raia wanyonge eti hivi siku akitoka pale kabla hazamaliza agenda yake, nani atamalizia? Dalili ya kulewa kitu chenye content 700%
 
Inshort, jpm anatamani pombe yenye alcohol 700% hii kitu haipo/mihula zaidi ya ile iliyopo kwenye katiba kwa sasa, hiyo pombe aliyonayo kwa sasa/ muda wake halali anaona haumtoshi.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom