Tatizo mambo serious unaleta utani..hapo kuna issue bado zipo kwenye upelelzi unazileta hapa za nini..? Kumbe jibu lako ni la kihisia zaidi..nilidhani unaleta mifano hai..lakini nikutonye jomba, kati ya hayo uliyoyataja, kuna baadhi ya kesi wanasema yapo hukohuko kwenu yanajulikana...sasa mmeshafanya Serikali ni jamvi la bibi..madudu yote mnarushia huko.....be careful...mnachinjana wenyewe kwa wenyewe halaf mnasingizia serikai..huu ni ujinga wa division nineAkina TL, IMMA advocates, Azory Gwanda, Mawazo... walikuwa wanauza madawa gani?