chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,758
- 2,529
Ndoa ya wake wengi haijawai kukatazwa na biblia bali kutokana na kuwa zilikuwa zinachangamoto na matatizo mengi kwa kipindi icho kanisa likawa linatoa muongozo katika ilo kwamba japo mke mmoja ni sahihi na anaweza kuepusha hiyo migogoro sawa na Mtume Paul alipokuwa anashauri watu wakiamua waoe kama hawawezi kuvumilia
Pia kanisa ndio kilikuwa chombo sahihi cha kuongoza jamii hivyo inawezekana yale waliyokuwa wanashauri ama kuyatolea ufafanuzi yakawa ndio muongozo hiyo ikapelekea kuonekana na kuchukuliwa kama sheria baada ya miaka mingi kupita
NB;kumbuka changamoto za ndoa zinatofautiana kwa kizazi na kizazi i.e ndio maana leo hii tuna changamoto ya wanawake kutaka kuwa sawa na sisi waume zao