Pombe maandiko yapo, nitatafuta nikuletee
Badilisha basi hio avatar jmn
Inatisha sana
Badilisha basi hio avatar jmn
Inatisha sana
Jamani weweee but whyy🤬🤬🤬🤬😡😡Mimi jitu msitu LadyRed.
Bandidu sura ngumu ndio maana nimeweka Avatar hiyo.
Khantwe ameongea mpaka amekonda masikini.
Me too
Unaona raha mwenyewe, muone kwanza
Hebu toa basi, hivi unakumbuka uliniahidi?
Nakujua, unaonaga raha sana ukiona mtu yupo uncomfortable
Njoo utumie ya kwangu