Ni kesi ya ICC na nyinginezo tu dhidi ya Samia na wenzake zitakazolibadilisha kiukweli Taifa letu na mifumo yake yote

Ni kesi ya ICC na nyinginezo tu dhidi ya Samia na wenzake zitakazolibadilisha kiukweli Taifa letu na mifumo yake yote

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa kwenye Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa pale ndipo Serikali ya Tanzania itaanza kuongozwa kwa akili na sio ujinga na upumbavu wa ki ccm.

Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa ICC kushtakiwa na kufungwa pale ndipo Mifumo ya Nchi hii itakapobadilika kweli na kuanza kufanya kazi usiku na mchana kwa faida ya Watanzania wote na kwa maslahi ya Watanzania wote na sio ccm.

Baada ya ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa ICC ndipo pale vyombo vya Ulinzi na Usalama vitapata mabadiliko ya kweli na kuanza kuelewa kuwa jukumu lao la kwanza ni kusimamia maslahi ya Wananchi wa Tanzania na Taifa la Tanzania ndani na nje ya nchi na sio kukipambania chama cha Mapinduzi kiendelee kutawala na kuliharibu hili Taifa.

Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa Mahakama ya ICC na kuwajibishwa ndipo pale Serikali itaanza kufanya kazi kwa kuliangalia Taifa na kujali maslahi ya Taifa badala ya maslahi ya ccm kama ilivyo sasa.

Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na wahusika wengine wote kushtakiwa na kuwajibishwa kweli kwa ukatili wao dhidi ya Watanzania pale ICC na kwenye Mahakama nyinginezo, ndipo pale Taifa hili litaamua with consciousness kweli kuandika Katiba Mpya iliyo bora kweli ambayo italeta nidhamu na uwajibikaji wa kweli wa viongozi kwa wananchi.

Ni pale tu Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na wengineo wote watakapofikishwa ICC na kwenye Mahakama nyinginezo nipo matukio ya kuteswa, kupotezwa, kuuliwa na kufunguliwa kesi za uongo kwa wakosoaji wa mambo mabaya yatakoma na Wananchi wataishi kwa uhuru wa kweli.

Msisitizo na Wito kwa Watanzania;

Watanzania wote tusiache kupambana kweli kuhakikisha kwa njia zozote zile mwaka huu, Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na wahusika wengine wote wanatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC na nyinginezo kwa namna walivyofanya mauaji dhidi ya ndugu zetu.

Ni kwa njia hii tu, Nchi yetu itarudi kwenye default setting na kuanza kutumia akili kujijenga na kujiendesha upya.
 
1768659452350.jpg
 
Hili jambo linaenda vizuri sana.

Hata hivyo, tusiache kuweka preseason kubwa kwenye hili. Kuanzia sisi tuliopo ndani ya nchi na diaspora waliopo nje ya nchi. Tushirikiane kutengeneze precedent itakayolibadilisha kweli hili Taifa permanently.

Mwaka huu tuhakikisha Arrest Warrant zinatoka dhidi ya hawa watu kuanzia kwenye Mahakama ya ICC, Mahakama yoyote kwenye Taifa la lolote la Ulaya ( Ujerumani au Ubelgiji au Ufaransa) na Mahakama yeyote ya Marekani. Hii ni kete ya dhahabu kwetu maana hakuna njia nyingine tunayoweza kulibadili hili Taifa zaidi ya kuwafanya hawa watu kuwa mfano ili wote tuanze kutumia akili zetu vizuri kulijenga upya Taifa letu.
 
Yaliyomkuta huyu George Seni yataisha siku tu hawa wauaji wote wakifikishwa ICC
 
Back
Top Bottom