Ni kazi gani uliyowahi kufanya ambayo unafikiri hautoweza kuisahau kamwe?

nilipomaliza form six nikisubiri post za chuo,mimi na jamaa yangu tulienda kuomba kibarua ktk maghorofa yaliyokuwa yakijengwa karibu na chuo cha biashara dodoma CBE,Kwa kweli tulikimbia bila malipo kabla kazi haijaisha,nilijua nitakuta vikalai kwa ajili ya kubebea zege kama nilivyozoea vibarua kadhaa nilivyowahi kufanya haha!

sasa siku hyo ilikuwa tunajaziwa zege kweny ndoo ya lita 20 full had juu halaf tunajitwisha had ghorofa ya 3,ngaz za kupandia ni mbao zimepangwa nyingi hv,ukiteleza kwenda chini unaweza kufa,hakuna gloves wala kofia ngumu wala zle buti ndefu full kupauka hakuna hata kitu cha kuweka kichwani kipunguze maumivu kichwani,hakuna wa kukutwisha ndoo,jamaa wana roho mbaya wanajaza had juu ukiwa slow wanakufokea..

tangu saa 2 had saa 6 hv bila kula chochote asubuhi njaa ikawa kali plus ukibonyeza kichwa unaona kinabonyea na maumivu kias chake,miguu imenock kabisa,mgongo unavuta.kadr muda unavyokwenda naona ndoo znabak tupu(watu wanakimbia)
nikamwambia jamaa yangu na sisi tusepe tuu kimyakimya,jamaa akataka tukamwambie foreman labda atatupoza,tukamwambia lakini akasema hatupi hata kumi kwanza sisi mayai sana tuwaache wanaume wapige kazi bas tukasepa zetu kwa miguu had home bahi road km 5 hv,kiu njaa plus uchovu acha kabisa.hiyo sisahau
 
Nlikuwa njombe nikifanya shughuli ya kusaidia wanyasa,wamsumbij.nk kuingia tz kimagendo sitaisahau maana ilikuwa na mitihan mingi sana kama ya kuzika mtu ukiwa huna uhakika 100% kuwa kafa ili kwenda muda,kutelekeza watu polini ukijua waz hawatachukua mda watakufa kwa njaa au wanyama pori,polisi,jela+kupigwa,kuishi kama digidigi dah ila mungu mkubwa nipo hai!
 
Mwanaume anayewa-du wanawake wa kila aina....obese, wabaya, horney, wanaopenda kufilwa na kulambwa chumvi...Yaani ni kazi haramu na ndiyo maana nimesema sitorudia tena kufanya ile kazi. Kuna mwanamama mmoja alinilipa kwenda kum-du mtoto wake ambaye alikuwa mbaya kishenzi na obese hata kupumua vizuri anashindwa. Ilibidi aniongezee hela ili nim-du mwanaye. Nikafanya kiroho mbaya ila kero ilikuwa ni kwamba kila wiki ananipigia simu eti alitaka kuwa my girl friend na niwe nafanya kwa bure ila atanipa posho mwisho wa wiki.....nilikataa na kuchukua simu nyingine. By the way, nilikuwa nafanya hii kazi kipindi niko Thailand na nimekwama. Ikanibidi nifanye hii kazi ili nipate nauli ya kwenda to my destination. Nilichogundua ni kwamba kufilwa si pendeleo tu la wanawake wa kibongo bali hata wa nje, sema wale wanaopinga ni waoga tu/wamejawa na hofu.
Mmh nahc hiii ndo kaz ngumuu kati nilizozisimaa hapa jf
 
Male escort...wakati mwingine nililazimika ku du na kina Mama waliomzidi umri Mama yangu mzazi....yaani nilikuwa nawa du huku nikitokwa na machozi. Sitorudia tena ile kazi, kuna wengine (vizee) vilitaka nivifile. Jamani dunia kweli haina huruma.
Hii ikiingia Bongo watu watajitolea hata bure kudadeki
 
nilipomaliza form six nikisubiri post za chuo,mimi na jamaa yangu tulienda kuomba kibarua ktk maghorofa yaliyokuwa yakijengwa karibu na chuo cha biashara dodoma CBE,Kwa kweli tulikimbia bila malipo kabla kazi haijaisha,nilijua nitakuta vikalai kwa ajili ya kubebea zege kama nilivyozoea vibarua kadhaa nilivyowahi kufanya haha!

sasa siku hyo ilikuwa tunajaziwa zege kweny ndoo ya lita 20 full had juu halaf tunajitwisha had ghorofa ya 3,ngaz za kupandia ni mbao zimepangwa nyingi hv,ukiteleza kwenda chini unaweza kufa,hakuna gloves wala kofia ngumu wala zle buti ndefu full kupauka hakuna hata kitu cha kuweka kichwani kipunguze maumivu kichwani,hakuna wa kukutwisha ndoo,jamaa wana roho mbaya wanajaza had juu ukiwa slow wanakufokea..

tangu saa 2 had saa 6 hv bila kula chochote asubuhi njaa ikawa kali plus ukibonyeza kichwa unaona kinabonyea na maumivu kias chake,miguu imenock kabisa,mgongo unavuta.kadr muda unavyokwenda naona ndoo znabak tupu(watu wanakimbia)
nikamwambia jamaa yangu na sisi tusepe tuu kimyakimya,jamaa akataka tukamwambie foreman labda atatupoza,tukamwambia lakini akasema hatupi hata kumi kwanza sisi mayai sana tuwaache wanaume wapige kazi bas tukasepa zetu kwa miguu had home bahi road km 5 hv,kiu njaa plus uchovu acha kabisa.hiyo sisahau
 
Kuwa house boy mara baada ya kumaliza chuo kwa balozi mmoja.
Aisee ogopa ki2 inaitwa njaa.
 
Mkubwa Dracular simulizi yako safi mno.Mi pia nimecheka ila kwa huzuni.Dhiki ni mbaya sana mzee na inadhalilisha utu wa watu.Malizia nini kilijiri na mafanikio yako sasa pia usisahau hbr za huyo mpenzio.
Masikini pole sana Ila ndo maisha.
 
Back
Top Bottom