Ni kazi gani uliyowahi kufanya ambayo unafikiri hautoweza kuisahau kamwe?

Gape la 4m 4 nlienda kuvua samaki ziwani, asikuambie mtu ziwa linatsha balaa ukutane na upepo na mvua ukiwa katkat ya ziwa, maji ni meusi huwezi amini yan hapo kifo unkiona live bila chenga
 
Kuna jamaa mmoja aliniambia kuna kazi ya marketing elimu yoyote ile.Kufika tunapewa vyombo vya ndani tukauze mitaani jamani hii kazi ngumu nilifanya kwa saa mbili tu kurudi nnakuta wenzangu washabwaga manyanga sa nyingii.
Unaambiwa uvae tai haaa haaa
 
Kuuza sambusa stand ya mabasi nilipomaliza la saba, nilikuwa natumia kabati ya mbao. Kushawishi abiria ale ilikuwa tabu na rangi yangu hii ile kazi nilipauka nilawa wa brown

Mshahara sambusa zisipoisha silipwi, siku ambayo sitaisahau mteja alinunua sambusa pembeni ya kabati akaona funza aisee

Nimehs machozi maisha haya...
 
Nilipomaliza form four nilikua nafanya kazi blue kampuni ya mikopo. Nilikua natoka nyumbani kwa miguu naenda kwenye ofisi halafu baada ya hapo tunapangiwa kwenda kutafuta wateja na nauli ya elfu 2, hapo ule na nauli juu. Niliamua kufanya kazi baada ya kujua ntafaulu form four na babu yangu hawezi kunisomesha tena. Mpaka narudi shule sikuwahi kusave hata elfu 50, nilikua naishi nje ya mshahara, form six nikafanya kazi shoppers supermarket, nilikua napata tip sana sema wahindi wakawa wanakataa tusizichukue zinaingia kwenye mahesabu yao, halafu kila cku wakati wa kufunga mahesabu lazima wanikute na shoti wakati najijua sikoseagi mahesabu.
wakati nipo chuo tena nilikuaga nafanya vikazi vya vingine vya ajabu ajabu tu na nilivyokuaga sister duu na watu wananijua nilikua naombaga Mungu nisikutane na watu wanaonijua maana ningewezwa kupigwa hata picha Ila kazi ya kutafuta wateja wa mikopo naichukia mpaka leo.
Hahahahah kwann unaichukia mrembo
 
Male escort...wakati mwingine nililazimika ku du na kina Mama waliomzidi umri Mama yangu mzazi....yaani nilikuwa nawa du huku nikitokwa na machozi. Sitorudia tena ile kazi, kuna wengine (vizee) vilitaka nivifile. Jamani dunia kweli haina huruma.
Hizo kazi za male escort ndo zikoje? Ni hapa bongo kweli?
 
Hizo kazi za male escort ndo zikoje? Ni hapa bongo kweli?


Mwanaume anayewa-du wanawake wa kila aina....obese, wabaya, horney, wanaopenda kufilwa na kulambwa chumvi...Yaani ni kazi haramu na ndiyo maana nimesema sitorudia tena kufanya ile kazi. Kuna mwanamama mmoja alinilipa kwenda kum-du mtoto wake ambaye alikuwa mbaya kishenzi na obese hata kupumua vizuri anashindwa. Ilibidi aniongezee hela ili nim-du mwanaye. Nikafanya kiroho mbaya ila kero ilikuwa ni kwamba kila wiki ananipigia simu eti alitaka kuwa my girl friend na niwe nafanya kwa bure ila atanipa posho mwisho wa wiki.....nilikataa na kuchukua simu nyingine. By the way, nilikuwa nafanya hii kazi kipindi niko Thailand na nimekwama. Ikanibidi nifanye hii kazi ili nipate nauli ya kwenda to my destination. Nilichogundua ni kwamba kufilwa si pendeleo tu la wanawake wa kibongo bali hata wa nje, sema wale wanaopinga ni waoga tu/wamejawa na hofu.
 
Kwa sababu saa nyingine unaongea na mtu unaona kabisa hatakopa na unamkwaza kumpa habari ambazo ameshawahi kuzisikia, halafu kingine ni wanaume, asilimia kubwa lazima waishie kutongoza na mkopo hawachukui. Ile kazi siitaki.
Ila mpaka saiv bado sistaduu eh
 
Gape la F4 nilienda kisiwa cha bumbile-Kagera kusomba, kuanika na kuanua dagaa!
Hii kazi sitakuja niisahau!
Ugum wake ni pale wavuvi na mitumbwi yao wanaporudi saa nane ya usiku, unaenda kusomba dagaa maji yanakufika kifuani kwa mudaa wa saa nne!

MUNGU NI MWEMA WAKATI WOTE!
 
Back
Top Bottom