GAMING BOARD TOENI MATOKEO YA WRITTEN INTERVIEW ILOFANYIKA TAREHE 26/4/2019

kizo83

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
352
500
Kuna interview ilofanyika tarehe 26 mwezi wa 4 pale DUCE.Hawa Jamaa wakaahidi kutoa majibu hapa karibuni Ila hawajafanya hivo mpaka Leo.

Ni vema wangetoa matokeo mapema maana kuna watu tumetoka mikoa ya mbali na hatujarudi bado tukitegemea tumalizane nao kisha ndo turudi Ila tuokoe gharama.

Interview nyingi nlizowahi kuhudhuria hazikuwahi kuwa hivi,interval ya written na oral haizidi wiki 2 Ila nyie mpaka mnatupa Mashaka tuhisi kuwa mmeendesha interview kutimiza tu formality.

Kama wahusika mnaliona lifanyieni kazi.Ahsanteni.
 

kizo83

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
352
500
Ni vema sana kama na ile interview ingeendeshwa na utumishi maana wao huendesha mambo kwa uwazi na huenda na muda
 

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,331
2,000
Hapana sipo board mkuu
Sema tuu binadamu tunaishi kwa kutegemeana
Inakupasa ushukiru mungu Kama ndo chanzo Cha wewe kufahamu
Naamini ikawa mwanzo wa wewe kutooa uenda ukala shavu kwenye hiyo board
 

kizo83

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
352
500
Hapana sipo board mkuu
Sema tuu binadamu tunaishi kwa kutegemeana
Inakupasa ushukiru mungu Kama ndo chanzo Cha wewe kufahamu
Naamini ikawa mwanzo wa wewe kutooa uenda ukala shavu kwenye hiyo board
Ila inabidi nirudi zangu nyumbani tu ila wakiita kama ntakuwepo ntarudi tena DSM.Ila wanatuingizs gharama sana.
 

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,331
2,000
Kuna mtu wangu wa karibu aliomba account post kwenye hiyo board,akanipa kazi niangalie jina lake maana alisikia majina yamewekwa pia kwa gazeti
Mm nilipoingia nilikuta majina kwenye tovuti,kwa kuwa ni mdau wa jamii forum nikaona ni vizuri nitupie umu ili wengine pia wajionee kwa ambao waliziomba pia
 

kizo83

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
352
500
Ahsante sana kaka,bila ya wewe nisingeona jina langu.Wale wa accounts kuna walioomba nafasi mbili mbili,siku ya interview ilibidi wachague wafanya ya gaming inspector au ya accountants.Rafiki yako angekuja ile ya gaming inspector ingekuwa easy sana kwake.Ule mtihani ulikuwa mwepesi kwa watu wa accounts
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom