Tatizo unapojiona umeelewa sana kumbe hujaelewa kitu! Kinachozungumzwa hapo si kufiwa au chochote, wewe ni mtanzania wa wapi? Ambaye huelewi ?
Kwahiyo unataka kusema tungetakiwa kuendelea vile siyo?, hakuna uhuru wa maoni, hakuna uhuru wa habari, kila siku ni kusifia vingine visivyo na msingi, viongozi walifika hatua ya kutishia wananchi hadharani na serikali yako unayoipigania ikakaa kimya
Kama kiongozi wa nchi kadiriki kusema ilifika hatua hela zikawa zinachukuliwa kwa nguvu, wafanyabiashara wanakimbia nchi, wewe ni nani unayeikataa auheni iliyopo sasa angalau kidogo?
Tulifika pabaya mno.....
SIKU ZOTE HAKI YA MTU HUPATIKANA TU HAIJALISHI NI LINI IJAPOKUWA ITACHELEWA, ILA 100% ITAPATIKANA