Ni kama nchi imesimama, hakuna kinachoendelea

Yaani nyanya ishuke lakini we don't care VAT tunaongeza kwa kila kitu
 
Kwenye nyekundu hapo imeharibu mtiririko mzima wa maelezo yako.

Ni kweli wananchi tusitegemee sana kitu cha kusaidiwa kutoka serikalini, lakini ni wajibu wa serikali kutoa huduma stahiki kwa wananchi wanaolipa kodi hasa katikakipindi kigumu cha kiuchumi.
 
tetea tumbo lako kistaarabu kila kitu bavicha ni kweli raia hatuna imani na serikari ya awamu ya tano tunachuki police awafanyi kazi yao wamekalia kutafuta sifa kwa mtukufu wao nchi inaendeshwa na camera na si kwa vitendo mpaka sasa mmetekeleza ahadi zenu mbele ya camera ni kweli nchi kwa sasa imesimama kimaendeleo hakuna jipya zaidi ya matamko yasio na muendelezo
 
Naona ule wimbo wa kuhamia dodoma umeshachuja. Na hata waliouimba wameshapoteana. Hii ni nchi ya vituko. Mwaka ndo unakatika hivyo .
 
Acha uongo bwana, km una-interest na kundi fulan sema, mm nalima nyanya jana nmeuza tenga 17 , tshs 15000 each, hyo bei ulosema n ya kawaida kila msimu wa mwez wa saba koz wanalimaga weng kutegemea mvua za March, mbona huongelei mwezi wa Jan na Feb wakulima tuliuza tshs 85000 each tenga, c magu huyu huyu, acha ushabiki, fanya uchunguz kwnz, dont beat around the bush.
Nipo kipera,mzumbe, moro, soko la nyanya
 
Kipo tena kikubwa sana 'matamko' kila kona ya nchi
 
Naona ule wimbo wa kuhamia dodoma umeshachuja. Na hata waliouimba wameshapoteana. Hii ni nchi ya vituko. Mwaka ndo unakatika hivyo .
Kaa hapo hapo ukilalamika na kupayuka. Septemba mosi njoo basi tuungane kwenye ukuta.
 
Raia wa wapi hawana imani na serikali? shame on you!! labda mafisadi na waliozoea miteremko ya wizi. Uku uraiani ni amani tena wananchi wanasifia ile mbaya wanasema hivi nanukuu " Sikuhiz hakuna tajiri wala masikini wote kulala sambili na wake zao". Sasa wewe sijui unawasemea wananchi wa wapi?
 
Wakulima wa nyanya ni kilio kila kona ya nchi hii. Sasa hivi tenga moja la nyanya ambalo lina wastani wa kilo 30 bei yake ni Tsh elfu tatu (3000) hakuna juhudi zozote za kuwaokoa hawa wakulima. Waziri anayehusika na viwanda hawezi kufanya lolote la dharura ili kuwaokoa hawa wakulima kwa sababu anaogopa bila sababu. Sasa kama hatuwezi kuhifadhi hata mazao yetu tunayolima, je ni viwanda gani tunafikiri tunaweza kumiliki?

Is this a joke right? May be in Kenyan shillings.
 
Wanajifanya hawaoni wala hawasikii. Lakini lazima tuwakumbushe maisha Yao yote yanategemea mchango wa kodi zetu. So, lazima tuheshimiane.haiwezekani sisi tukuajiri halafu utugeuke uanze kututisha. Hutuambii, hutuonyewhi mwelekeo. Tumechoka!
 
It's true, Kwani wewe unaishi nchi gani? Jana morogoro tenga lilifika 1500 Tsh! Waziri mhusika kakaa kimya utafikiri amepigwa nusu kaputi! Hajui afanye nini. Akifanya chochote kuokoa lazima atumbuliwe! Hatari.
 
Acha njaa mzee naimani ulichopanda sio unachokivuna kwa sasa pole najua unalilia ndani kwa ndani ila ndo ivyo tena yalishatokea unabudi kusimamia msimamo wako kwa vile mlimpenda wenyewe na nichaguo lenu wenyewe acha muisome namba na camera zenu na matamko yake ya kijinga hakuna hata moja lililo fanikiwa zaidi ya mbembwe
 


You have to know. Umasikini ni laana. Ndiyo maana akili za masikini Siku zote hutamani hata uje mwisho wa dunia watu wote wafe. %70 ya masikini ni wachawi. Na wewe Nina Imani ni mmoja wao.
 
Kaa hapo hapo ukilalamika na kupayuka. Septemba mosi njoo basi tuungane kwenye ukuta.
acha unafiki maisha ni mabovu serikali ya awamu ya tano inatekeleza ahadi zake kwenye camera mtukufu hana maono kuna sehemu anataka kuipeleka nchi hii ila ajui ni wapi ndo maana wamebaki kutamka mambo ya kusadikika na kuyaacha na kurukia maengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…