Ni kama naota vile, siamini

Ni kama naota vile, siamini

Sasa ulitakaje....mwenzako kapata kichwa ndo mana kakupa mchezo wa haja ili kesho urudi na kweli umenogewa.....na unataka kuchonga mzinga....

....kweli sister..yaonekana nawe mtoaji mzuri wa mchezo wa haja....tukutane wapi leo jirani tupange ile safari ya zenj...
 
kama ulijilinda well and good...its all part of life.enjoy it to the fullest.about the girl,wachache wanasukuma mashine hivyo,kipindi cha nyuma niliwahipata mmoja kama hivyo yaani asubuhi ilivyofika nilihisi amenivunja uti wa mgongo.so few and rare

Kaka. hahahahha. nimecheka sana. alafu huwa tunakua tutamu kweli. kweli ni wachache.
 
...benteke si mchezo! That's why JF is always good.

Kabisa kaka JF sio mchezo sina hata week lakini naona kabisa hata afya yangu inabadilika , itabidi JF wafikirie kufungua jukwaa la wachungaji, maana naona wanajisahau hii ni MMU wanaanza kuhubiri huku.
 
msaidie huyu mdogo wetu ameshapotea kabisa na wala anaona ni fahari sana kusifia dhambi hiyo huku akijisemea amekwenda kavu kavu sijui haoni kuwa anajiangamiza ?

Ngoja niongee na uongozi wa JF wafungue jukwaa la wachungaji. Huku ni MMU dada.
 
Kwa kweli nashindwa nimuelezeaje.

Ni maji ya kunde sio mrefu wala mfupi yuko kati hivi.

Nilikutana naye kwenye kivuko cha kigamboni jana.

Binti habari yako? Nzuri kaka, nikamuuliza kama mwenyeji Kigamboni, alinijibu sio sana maana ndio ameamia juzi juzi hostel.

Akaniuliza kwani nataka kwenda wapi? Nilimjibu kama anajua beach nzuri ya kupumzika,(Off course nilikua najua naenda wapi ilikua ni zuga tu). Basi akasema yeye pia anaelekea lakini anaenda kwanza hostel kubadili nguo ndio aende Mikadi.

Nikaungana nae. Kameumbika wajameni, nilikula maisha mchana kutwa na giza lilipoanza kuingia tayari alishakua na dompo moja kichwani, mimi nina Safari za kutosha.

Tulikua tumekaa ndani ya kibanda. Hahahaha, kereuuuuwiii ni balaa ,men,the girl can ride. Kwa kweli nililala huko,nimevuka saa tatu leo. Yaani siwezi fanya kazi vile yule girl alivyonifanya namuwaza yeye tu. Lazima nikarudie.

Na Itabidi nitafute nyumba kabisa nihamie huko. Muniwache.

Nyie ndo mnakufaga kizembe zembe tu. Loh
 
Sijui wanawake wengine wana akili gani jamani. Yaani mtu kakuongelesha maneno machache tu basi ushamvulia nguo khaaa!!!! Kweli mwisho umekaribia sana!
 
Sijui wanawake wengine wana akili gani jamani. Yaani mtu kakuongelesha maneno machache tu basi ushamvulia nguo khaaa!!!! Kweli mwisho umekaribia sana!

Tatizo mmekariri sana. Mambo yanaenda na wakati. Watu hawana mda wa kutongozana eti week unaomba papuchi. Baba hii ni digital, soft touch hata kivuli tu kinaweza activate. We endelea kukariri kama sisiemu walivyokariri serekali mbili.
 
Tatizo mmekariri sana. Mambo yanaenda na wakati. Watu hawana mda wa kutongozana eti week unaomba papuchi. Baba hii ni digital, soft touch hata kivuli tu kinaweza activate. We endelea kukariri kama sisiemu walivyokariri serekali mbili.

A cursed generation
 
Kwa haraka haraka utakua umepoteza mifuko ya siment mingapi vle!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom