Ni kama naota vile, siamini

Ni kama naota vile, siamini

Hio inaitwa One Night Stand ( ONS) Good boy, Good Job, safi sana Keep It Up
 
Hapa ndio pale Mtu umevaa mavazi na nguo zenye thamani ya 500,000 jumlisha na salio lako mfukoni jumlisha na THAMANI ya uhai wako halafu UNAKIAMINI KITU CHA SHILINGI MIA MOJA AU MIA TATU AU HATA 2000 KIKULINDE? haya bhana.

Kavu noma mkuu, pale wanauza waudumu. Kuna round niliagia Safari na Ndom. Ila nilizificha kwanza maana ishu ilikua bado chengachenga.
 
Dah..ujana ni raha sana, hakuna ratiba inayokubana. Yani umeamua kulala kigamboni? hahahahahah, wakati mwingine mtu akiniita ''WE KIJANA'' huwa sijisikii vizuri, haya mkuu tumekuacha......
 
unajitafutia mabalaa mwenyewe bila hata kujijua unafikiri kila apitaye na umuonaye ni hekalu jema
mengine ni hekalu chafu shauriro

Nifafanulie ladyfurahia, "Hekalu chafu"
 
Kaka uza hata nyumba yako umpee! !!!!!!hahhhha na tushakuwachaaaaa
 
Dah..ujana ni raha sana, hakuna ratiba inayokubana. Yani umeamua kulala kigamboni? hahahahahah, wakati mwingine mtu akiniita ''WE KIJANA'' huwa sijisikii vizuri, haya mkuu tumekuacha......

Kabisa ujana raha bwana,ilikua ni bahati yangu ndugu. Haijawai kunitokea.
 
Hapa ndio pale Mtu umevaa mavazi na nguo zenye thamani ya 500,000 jumlisha na salio lako mfukoni jumlisha na THAMANI ya uhai wako halafu UNAKIAMINI KITU CHA SHILINGI MIA MOJA AU MIA TATU AU HATA 2000 KIKULINDE? haya bhana.
Mkuu hii ni weakness ya dunia, wewe huni nyumba ya gharama watu wanaweka vitasa vya bei rahisi, wengine hata milango ya kichina..
 
Hahahaaa.. ngono zembe sio?
Nakupa scenario moja:
Mtu ametumia Condom, sawa? lakini before hio kondom... amefanya romance la nguvu... na fore plays zote uzijuazo na usizozijua? Ni nini nafasi ya condom kuzuia maambukizi kama mmoja wapo amesababisha mchuboko au ana kidonda sugu au hata amajingata au hata amejiumiza kkwa mswaki au pengine kuna pipele amekipasua sehemu gusanishi?

Chances are Condom itasaidia sehemu moja tu. kwingine vipi? is this still the best option?
,ukute amegonga kavu ukimwi hata huogopi !!,you are sujected to this situation "EPUKA NGONO ZEMBE"
 
Hapa ndio pale Mtu umevaa mavazi na nguo zenye thamani ya 500,000 jumlisha na salio lako mfukoni jumlisha na THAMANI ya uhai wako halafu UNAKIAMINI KITU CHA SHILINGI MIA MOJA AU MIA TATU AU HATA 2000 KIKULINDE? haya bhana.

Ni kweli yote unayosema sasa tufanyaje hamna jinsi, ni lazima nifanye mapenzi na mwanamke. Mwanaume kamili inatakiwa angala Mara tatu kwa week afanye maenzi na mwanamke. Unafiki sijui hatari zote ndugu.
 
Hahahaaa.. Mchina kakwepeki kirahisi siku hizi.
Nachotaka kusema kuna haja ya kujizuia kuliko kufungulia ukiamini condom kiasi hicho. kondom yenyewe shs mia ndio unalindia uhai wako?

Kwa wenzetu wazungu ukienda kununua utakuta kuna warieties kama laki nane hivi? kila aina ya tukio ina yake, kama ni kwa HIV aids, Mimba, romance, kinyume na nanii, pleasure n.k. niliwahi ona mahali hapa mjini aina flani hivi wanauza 16,000. lakini hizi wanaotaka kutuaminisha ndo hizo unasikia mara contena feki limekamatwa mara nini nini?

Mkuu hii ni weakness ya dunia, wewe huni nyumba ya gharama watu wanaweka vitasa vya bei rahisi, wengine hata milango ya kichina..
 
yaani amemuamua kutualetea kauzi hapa ambako hakaeleweki kumbe anajipalia makaa shingoni mwake
nami nampa pole sana hajui kuwa ameshajimaliza
Badala ya kuniombea mamdo yaende vizuri
ili upate tenda ya Kwa anayehitaji huduma hizi:
* Kutengenezewa Keki * Wedding cards design
* Mc & hall/open space decoration- KARIBU
 
Mara tatu kwa wiki afu sio mkeo? ni hao wa kuokoteza + biere? HONGERA SANA KAKA.
Endelea kuamini hivyo na endelea kula raha aisee. kwa nini ujizuie bana, raha zipo, wanawake warembo sana wapo na kondomu si zipo bana? Hela ipo, shida ni nini? Keep the momentum going bro.. Kila apandacho mtu Mkuu kuna wakati pia atavuna kutoka katika yale aliyoyapanda.

Aaminivyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo.

Ni kweli yote unayosema sasa tufanyaje hamna jinsi, ni lazima nifanye mapenzi na mwanamke. Mwanaume kamili inatakiwa angala Mara tatu kwa week afanye maenzi na mwanamke. Unafiki sijui hatari zote ndugu.
 
benteke hope you know what you are saying!!!!!!!!!!!!kwa ufupi tu naomba nisizunguke sana ila nikwambie tu kuwa umepotea wala si jambo la fahari kujisifiia ujinga kama huo aint a deal men its useless na nionavyo mimi hakuna anyekuunga mkono katika wote waliotoa comments zao so shtuka ujione umekosea njia kupost kitu kama hii and mind you this tamaaaa mbele mauti nyuma:rip: :rip: :rip: kila la kheri kijana
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa.. Mchina kakwepeki kirahisi siku hizi.
Nachotaka kusema kuna haja ya kujizuia kuliko kufungulia ukiamini condom kiasi hicho. kondom yenyewe shs mia ndio unalindia uhai wako?

Kwa wenzetu wazungu ukienda kununua utakuta kuna warieties kama laki nane hivi? kila aina ya tukio ina yake, kama ni kwa HIV aids, Mimba, romance, kinyume na nanii, pleasure n.k. niliwahi ona mahali hapa mjini aina flani hivi wanauza 16,000. lakini hizi wanaotaka kutuaminisha ndo hizo unasikia mara contena feki limekamatwa mara nini nini?

Mkuu uko sahihi, hivi mfanyabiashara gani anaweza kuleta hizo condom Tz? Hii ni sawa na kuuza spare za Boggati bongo, zitakudodea.
 
so sad Tized ndo kizazi chetu hicho kujisifia kwa upuuzi mtupu afu akianza kujiharishia ndo aannza laiti ningejua when itsss too late nachukia sana vijana walio na attitude ya kuabudu ngono.
Mara tatu kwa wiki afu sio mkeo? ni hao wa kuokoteza + biere? HONGERA SANA KAKA.
Endelea kuamini hivyo na endelea kula raha aisee. kwa nini ujizuie bana, raha zipo, wanawake warembo sana wapo na kondomu si zipo bana? Hela ipo, shida ni nini? Keep the momentum going bro.. Kila apandacho mtu Mkuu kuna wakati pia atavuna kutoka katika yale aliyoyaotesha.

Aaminivyo vtu nafsini mwake, ndivyo alivyo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom