Ni kama naota vile, siamini

Ni kama naota vile, siamini

benteke hope you know what you are saying!!!!!!!!!!!!kwa ufupi tu naomba nisizunguke sana ila nikwambie tu kuwa umepotea wala si jambo la fahari kujisifiia ujinga kama huo aint a deal men its useless na nionavyo mimi hakuna anyekuunga mkono katika wote waliotoa comments zao so shtuka ujione umekosea njia kupost kitu kama hii and mind you this tamaaaa mbele mauti nyuma:rip: :rip: :rip: kila la kheri kijana

Ebu niambieni basi wake zenu kabla hamjawaoa mliwapataje. Si lazima ulitafuta. Na kutafuta mke unatafutaje sasa.
 
Mkuu ulikagonosha?
....unajigamba kwa lipi hapo?unashangaza kweli ulipotoka nyumbani ulkuwa unaendawapi?unapagaishwa hivyo na msichana uliyekutana naye kwa bhati tu,huon udhaifu mkubwa sana...
 
Sasa ulitakaje....mwenzako kapata kichwa ndo mana kakupa mchezo wa haja ili kesho urudi na kweli umenogewa.....na unataka kuchonga mzinga....

Kula "Like" nahamia walahi. Kwa nini bana. Ila sasa kuogelea ndo siwezi sijui lile dude siku linazama itakuaje.
 
so sad Tized ndo kizazi chetu hicho kujisifia kwa upuuzi mtupu afu akianza kujiharishia ndo aannza laiti ningejua when itsss too late nachukia sana vijana walio na attitude ya kuabudu ngono.

Aisee, sio ajabu viajana wengi ni mashoga siku izi. Wanabanwa sana na wazazi.
 
mungu hukerwa zaidi kwa mtu afanyae dhambi nakuitangaza!tafakari chukua hatua.
 
mungu hukerwa zaidi kwa mtu afanyae dhambi nakuitangaza!tafakari chukua hatua.

Mungu hapendi pia wanafiki. Sijatangaza ubaya nimetangaza sifa na uwezo wa Muumba.
 
Kabisa Mkuu Blue G.

Hali ni mbaya sana kwa sasa. ngono, ulevi na kamari ndio unaoonekana kama ndio fasheni ya leo. Usipokuwa hivyo unaonekana old fasioned.

Ona trick ilivyo... Yaani aliepotea anamuona aliyesimama kama kapitwa na wakati... afu huyu aliye kwenye njia sahihi anaacha njia yake anamfuata aliyepote ili asionekane mshamba.... VERY POOR THINKING.

Wanaofanya ujinga ujinga ndio wanatukuzwa.. wanaotenda hali ndio wanadhihakiwa.. yaani imepinduliwa kabisa
so sad Tized ndo kizazi chetu hicho kujisifia kwa upuuzi mtupu afu akianza kujiharishia ndo aannza laiti ningejua when itsss too late nachukia sana vijana walio na attitude ya kuabudu ngono.
 
Last edited by a moderator:
haya bana. umalaya huwa unanza kwa style hii....just the first day mna du..:A S 13:
 
benteke not in such a style unaongea naye leo na leo hiyo hiyo unamake love naye!!!!!!!!!!unafikiri amefanya hivyo kwa wenzio wangapi?ungependa kumweka ndani mwanamke wa hivyo?unafikiri ni hekima kujitspsns kujidisplay kuwa umeweza kumpata msichana na kumake naye love kiurahisi?labda tu nikwambie kwa kifupi tu unielewe zaidi:

wanawake na pia wanaume wapo wa aina mbili ila as long as wewe ni me basi nitazungumzia wanawake wanawake wapo marriage material na spending material na sina shaka huyo uliyempata hivyo jana anafall kwenye spendig category kwani nina imani wife material hawezi kuwa easy go in such a way na ikiwa unajitapa hata kwa wenzio mitaani na kuna wife material anyekumendeaga kila siku hata siku ukitupa ndoano atakutolea nje kwani hakuna wife material anayependa mwanaume anyejisifia kwa ngono!!!!!!!!!!hope umenielewa mkuu benteke.
Ebu niambieni basi wake zenu kabla hamjawaoa mliwapataje. Si lazima ulitafuta. Na kutafuta mke unatafutaje sasa.
 
Last edited by a moderator:
kweli bado unahitaji msaada ngoja waje wakusaidie wengine hapa maana nita:A S 465::A S 465:
Badala ya kuniombea mamdo yaende vizuri
ili upate tenda ya Kwa anayehitaji huduma hizi:
* Kutengenezewa Keki * Wedding cards design
* Mc & hall/open space decoration- KARIBU
 
mkuu Tized mimi huwa napata faraja kujua kuwa angalau kati ya wanadamu wa sasa kuna watu wenye utu na wanaoyaona mabaya na kuyachukia kama ninyi nafarijika sana maanake hali kwa sasa inasikitisha aisee Mungu tu mwenyewe atunusuru..
Kabisa Mkuu Blue G.

Hali ni mbaya sana kwa sasa. ngono, ulevi na kamari ndio unaoonekana kama ndio fasheni ya leo. Usipokuwa hivyo unaonekana old fasioned.

Ona trick ilivyo... Yaani aliepotea anamuona aliyesimama kama kapitwa na wakati... afu huyu aliye kwenye njia sahihi anaacha njia yake anamfuata aliyepote ili asionekane mshamba.... VERY POOR THINKING.

Wanaofanya ujinga ujinga ndio wanatukuzwa.. wanaotenda hali ndio wanadhihakiwa.. yaani imepinduliwa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Ndio wakati uliopo Mkuu huu. Tuombeeni Neema izidi kutufunika, hali ni ngumu sana kwa kizazi chetu hiki cha kamari, ulevi wa ngono na vilevi. Mungu atupe neema ya kufungulia FAHAMU zetu. kizazi chetu katika kitu kinachokosa kikubwa na cha maana kuliko vyote ni UFAHAMU.

..................tena cha kushangaza!!!!!!!!!!naomba nimalizie hivyo!!!!!!!!!!!!!!
 
mkuu bora umsaidie mdiogo wako yaelekea ameshapoteza dira haoni wala hasikii chochote yeye anaona fahari tu kujisifia maujinga yasiyofaa na yasiyopendeza hapa msaidie kuutoa huo u:wave: wake
Kabisa Mkuu Blue G.

Hali ni mbaya sana kwa sasa. ngono, ulevi na kamari ndio unaoonekana kama ndio fasheni ya leo. Usipokuwa hivyo unaonekana old fasioned.

Ona trick ilivyo... Yaani aliepotea anamuona aliyesimama kama kapitwa na wakati... afu huyu aliye kwenye njia sahihi anaacha njia yake anamfuata aliyepote ili asionekane mshamba.... VERY POOR THINKING.

Wanaofanya ujinga ujinga ndio wanatukuzwa.. wanaotenda hali ndio wanadhihakiwa.. yaani imepinduliwa kabisa
 
uwezo upi wa wewe kutumia viungo ulivyopewa na Mungu kutenda dhambi na kuja hapa kujisifu na kujitangaza?
Mungu hapendi pia wanafiki. Sijatangaza ubaya nimetangaza sifa na uwezo wa Muumba.
 
tena Mungu atunusuru sana kwani kizazi cha dot.com hichi kimepotea kabisa wao wanawaza madhambi tu wala hawana hekima ya mambo mengine, Mungu atusaidie kizazi hichi jamani yaani inasikitisha sana

mkuu Tized mimi huwa napata faraja kujua kuwa angalau kati ya wanadamu wa sasa kuna watu wenye utu na wanaoyaona mabaya na kuyachukia kama ninyi nafarijika sana maanake hali kwa sasa inasikitisha aisee Mungu tu mwenyewe atunusuru..
 
hakuna sababu inayoridhisha ya kuweza kumpa mtu go ahead ya kufanya ufuksa wala hakuna sababu ya kujustify vijana kuwa mashoga no big no ni upuuzi mtupu....................
Aisee, sio ajabu viajana wengi ni mashoga siku izi. Wanabanwa sana na wazazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom