Ni kama Mbagala tu.

Ni kama Mbagala tu.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,663
254530_166415046754376_111189025610312_444230_4105372_n.jpg
 
Dah! hiiyo imetulia!, i hope konda yupo na watu watakuwa wanagombania kuingia na wengine kupitia madirishani.
 
Duuu1asa kwenye zile bamsi za angani watabaki kweli sijaona chuma ya kushilikia!!
 
Ni photo shop hiyo, hilo pipa likishapaa angani hakuna atakayebaki watapeperushwa na upepo kama karatasi
 
MKUU MIMI MZEE WA MBAGALA....but humo Dar city hakuna eneo hata moja wasilopitia dirishani, but Mbagala ndo tulianzisha wengine wakaiga! Inaelekea Mbagala wabunifu.... Teheh teee theheeh
Hii inaenda mbagala?
 
Back
Top Bottom