Ni kama Dr. Magufuli anatengeneza vita

Ni kama Dr. Magufuli anatengeneza vita

The next president, i believe, is in the kitchen rn and the chef is Magufuli himself. It is likely we'll get a Magufuli Jr in 2025.
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
mitano tena
 
Je wanalipa kodi? kuna sababu gani ya mtu kuwa na duka kama mwingine analeta vitu na vinauzwa mitaani bila kodi!!!
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
Rais kusema yeye ni mtetezi wa masikini haikuanza leo.

Nyerere aliitwa "Baba Kabwela". Huyu alianza kutetea masikini kabla ya urais katika harakati za kudai uhuru.

Mwinyi alifanya mikutano mtaa wa Lumumba, watu masikini walienda kumuona rais moja kwa moja na kumueleza matatizo yao.

Kikwete alijinadi mtu wa watu aliwapa watu masikini fursa nyingi sana.

Mkapa alijinadi kwa kusema mtaji wa masikini ni jasho lake, akaongeza ukusanyaji wa kodi kwa matajiri na kuwapa nafasi masikini watumishi wa umma kujidai, japo alibana kwa ukapa.

Magufuli anajinadi mtetezi wa masikini kila kukicha.

Lakini, wengi wa hawa, kama si wote, hawawasaidii masikini kwa njia endelevu.

Nyerere alikuwa too idealistic, akaleta Ujamaa, ukaharibu uchumi. Tukataka usawa. Sasa, tukawa karibu wote sawa kweli, lakini sawa katika umasikini.Ukiambiwa uchague nchi yenye watu sawa, lakini wote masikini, au nchi ambayo haina usawa, lakini kuna matajiri na hata masikini wana nafasi ya kuwa matajiri, utachagua nchi ipi?

Mwinyi alisaidia kufungua biashara kwa ruksa, lakini mfumo ulijaa rushwa na kukosa ufanisi wa kuleta mabadiliko ya kweli.

Mkapa alirudisha nchi katika mfumo na kukusanya kodi, kurasimisha taasisi za kiserikali, lakini alibana sana pesa.

Kikwete aliachia pesa na kufungua mianya ya watu kutajirika kwa njia halali na haramu, lakini uongozi ulipwaya kwa kukosa uthabiti na wizi wa mali za umma.

Magufuli is the worst of both worlds, anatupa hasara zote za rais mwenye mkono wa chuma kama Mkapa, bila kutupa faida za kiuchumi zinazoendana na unoko huo.

Mfano mdogo ni mapato ya mauzo ya korosho (exports) yalivyoangusha mapato ya exports za agriculture kwa asilimia 55 kwa mwaka mmoja tu kutokana na Magufuli kuingilia biashara ya korosho
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
Sema Magufuri akiondoka madarakani ajira aliyokupa haitaota mbawa?
 
Amezalisha bomu hatari siku ya kuwaondoa ifanyike Kazi ya ziada.Labda tu ajae awe mchumi awatoe uchuuzi awapeleke kwenye uzalishaji
 
Back
Top Bottom