Ni kama Dr. Magufuli anatengeneza vita

Ni kama Dr. Magufuli anatengeneza vita

Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
Ubinafsi ndio chanzo cha kutojaliana. Aliyekivulini wala hasumbuki na anayechomwa na jua.

Walio high table wanaongoza kwa maneno ya dhihaka.
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
Propoganda uchwara za kumuongezea muda baada ya kufeli kila idara
 
Wewe umewahi kuwa boda boda au mama ntilie? Na kilichobadilika ni kipi chenye faida? Yaani naandika hapa nimetoka pigwa faini ya kukomeshwa na wenye mamlaka.
HYO FAINI ULIPEWA CONTRO NUMBER...? 😷
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
Yatakayoachwa yamewekewa msingi kwenye awamu hii ya tano ndiyo hayo yatakayotumika kuipima awamu ya sita kama itakuwa na uongozi mzuri ama la.
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
By the time huyu anaondoka madarakani, hawa wote unaowaita wanyonge watakuwa wanyonge kweli na watakuwa ombaomba na wakimbizi huko nchini Malawi, Zambia, Kenya, Uganda, SA kama wale wenzao wa Ethiopia kutokana na uharibifu wa kutisha wa uchumi unaoendelea chini ya awamu hii.
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
walionewa kwa lipi
 
Niliwahi kusema msemo huu nilipojadili shauku ya wazanzibari kwa kiongozi wa Dr. Mwinyi. Nitarudia statement hii kwa wale wote wenye kueka matumaini yao kwa Magufuli. Ukiona hakuna mabadiliko ya kisheria ya kusimamia kitu chochote, basi chukulia kitu hicho si cha kudumu bali ni cha kupita (5 - 10).

Kama Magufuli anafanya mambo mema kwa wanyonge, basi lazima ayajengee sheria za kuweza kuyasimamia hadi atakapoondoka. Mfano mzuri kwa upande wa Zanzibar ni Mabadiliko ya kuundwa SUK wakati Karume. Kama asingefanya mabadiliko ya sheria, basi ni wazi Dr.Shein au Mwinyi angetupilia mbali wazo lile.

Magufuli kama ataondoka sheria zetu kama zilivyo, basi ni wazi hajaacha kitu chochote cha msingi akiondoka ni back to sqare one!
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
Jiji chafu
Mama lishe kila kona
Na wale wa mishkaki vile vile
Uzoaji wa taka finyu, hakuna vyoo wala mahali pa kujisaidia
Misingi ya afyz tupa kule
Machinga wamepanga bidhaa hadi milangoni na madirisha.
Wana kitu kimoja kinachowaunganisha- HAWALIPIKODI YOYOTE..
 
Hivi walimu wana miaka mingapi hawajaongezewa salary?
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
Ukijenga taasisi imara zinazofuata sheria, kanuni na taratibu ziliziwekwa hakuna mtu atakayeonewa nchi hii awe msomi, maskini, Mfanyakazi, Mkulima ama Mfanyabiasha!!

CCM inatengeneza matatizo then inajaribu kuyatibu ili kupata credit toka kwa watu wasioelewa mambo.
 
Acha kuongea haya maneno wewe inchi hii bado watu wanaonewa sana njoo WILAYA YA MUREBA HASA KISIWA CHA GOZIBA NDO UTAJUA BADO KUNA UONEVU MKUBWA SANA
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
Unataka kusema nini labda,Kwamba hali za hao machinga na mamantilie ni nzuri Sana,hela zimekaa tangu JPM aingie madarakani.
 
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa mnaonewa.

Tazama mazingira ya kazi za bodaboda, mama lishe, wafanyabiashara ndogondogo, wachimbaji wadogo, wakulima wadogo na wengine leo hayafanani kabisa na kabla ya kuingia Dr. John Pombe.

Je, akiondoka huyu mtu atakaye fuata kama akishindwa kutimiza ya mtangulizi wake au akija mwanasiasa tupu na kuwa mpiga mdomo tupu na maonezi kurudi kama zamani si kutakuwa hakutoshi na siitakuwa vita ya wenyewe kwa yenyewe.
Hao makundi uliyoyataja yana hali mbaya kuliko ilivyokuwa wakati wa JK. Sasa hivi hakuna hela
 
Back
Top Bottom