pole ila chagua magufuli
Kweli kabisaa angepewa mzungu walaa wasingeongeaa.. hiyo yote ni chuki na wivu tu..Hii ndo bongo bhana
Tabia za ukolon zimewaathiri watu weusi
Yaani weusi kwa weusi hawapendan hapo angepewa mzungu wasngepinga
Kwenda kule! MUUZA NYUMBA wa kazi gani???? hapa mabadiliko tu!
We bbwaoy ndo tatizo. We kuongea kizungu unadhani ndo usmart? Ndo maana walikunyoosha. Eti unaongea ngeli sana!!
mbaya zaidi mzungu alisema wazi bila kuficha "you are the only guy who can help us in this position & it's because you have the experience in what it takes for someone to run it "... Na kwa sababu mimi na ngeli ni damu damu niki amua kuongea na ongea kweli, sasa walipo ona huyu jamaa ni smart ana weza chukua position kubwa mbeleni waka weka cancel nika rudi zangu pori....