Ni jina gani linalokuvutia hapa jf

nashukuru kwa kuvutiwa na jina langu ingawa bado sijaelewa mtoa mada amemaanisha nini na hilo neno kuvutiwa.

Mbona ameeleweka vizuri tu. Amesema jina gani linavutia kati ya majina yote ya JF. Ni kama ambavyo mtu akiuliza ni avatar gani inavutia kuliko avatar zote JF.
 
Mbona ameeleweka vizuri tu. Amesema jina gani linavutia kati ya majina yote ya JF. Ni kama ambavyo mtu akiuliza ni avatar gani inavutia kuliko avatar zote JF.

kuvutiwa kwa namna ipi? Rahisi kuisoma, inachekesha, ipo unique au vipi?
 
Naona watu wanachanganya kati ya 'mtu' anayekuvutia na 'jina' linalokuvutia.
 
Back
Top Bottom