Ni jambo jema kuonja sumu, endapo hujui inauaje.Huyo mseveni kwani duniani alizaliwa peke yake kuwa kiongozi wa Uganda kwa sababu tu kwenye uongozi wake kuna Amani na Akifa je what next?
Nijibu swali na Akifa je itakuwaje? Ina maana Uganda itarudi kule kule ilikotokea Kwa nini sasa kwenye utawala wake asijitahidi kuweka demokrasia au mfumo ulio imara ata kama ikitokea asipokuwepo kesho kuna ambao wataendeleza pale alipoishia.Ni jambo jema kuonja sumu, endapo hujui inauaje.uongozi wa Milton Obote ulikuwaje?
Uongozi wa Yusuf lule ulileta kipi kwa waganda?, Uongozi Wa Iddih Amini Uliletaa mapinduzi yapi kiuchumi na kijamii..?
Je, Mh Yoweri Kaguta Mseveni aliridhi maendeleo yapi kiuchumi, kijamii ambayo ameyaharibu kwa uongozi wake kisiasa?
Je hana maono Kwa Taifa?
Hao mnaotaka waongoze Uganda mwadhani waweza kuwa na vision ileile aliyo nayo Mseveni?
Demokrasia ni wendawazimu ni vema tukajifunza kwa waliopata madhara ya kukumbatia mbinu na mikakati ya Ulaya kudhoofisha nchi zetu, wivu kuwa fulani kakaa madarakani muda mrefu yampasa aondoke haikufanyi wewe kuwa kama yeye.
Endapo akifariki hilo ni jambo jingine na huenda likawa na majibu yake kwa wakati huo..
Mkuu umesema vema lakini ninachokiona kwa uzoefu wangu kubadiri uongozi ni sawa na kucheza santakarawe.Sidhani kama Museveni anafanya vibaya,shida ninayoiona hapo kwa waganda ni kuwa wanahitaji ideas mpya,raisi Museveni inabidi aamini kuwa kuna watu wengine zaidi yake yeye wanaoweza kuiendesha Uganda,kwani unafikiri JK alivyoachia kijiti kwa JPM,au Obama alivyomuachia Trump ilikuwa uwezo wake wa kuongoza nchi umeisha! ni lazima tu ukubali kuwa wako wengine wanaoweza kufanya mabadiliko tena hata zaidi yako,ung'ang'anizi wa madara umezigharimu nchi nyingi,kwani inafikia mahali wananchi hawakuhitaji tena wanataka mtu mwingine ili aweze kuwaletea mabadiliko wanayoyahitaji...
Mkuu hapo hapo angalia Nigeria mafuta yalipogunduliwa tukasikia na vita ya Biafra imeanza.Ninapohitimisha ni vema tukakumbuka kiwa Uganda wamegundua mafuta, wanatarajia kuanza kuyachimba Msimamo wa Mh Yower Kaguta Mseveni juu Ya mali hizi za Waganda kwa makampuni ya kibepari ya Ulaya ni wazi, sitarajii waiache nchi hii salama.
Una hakika? aliyeua na aneua Libya leo ni Muamar Ghadafi? Anayeua Syria ni Assad,!? Au anaeua na aliyuruga Iraq ni Sadam Hussein? Machafuko ya Nigeria baada ya mafuta je yalisababishwa na Wanaigeria?Usiwasingizie wazungu , hawajamtuma mseveni aue watu hovyo wala kuua demokrasia nchini kwake, mshauri afuate katiba.
Najua una ujumbe unataka kutupatia.Ni jambo jema kuonja sumu, endapo hujui inauaje.
Uongozi wa Milton Obote ulikuwaje?
Uongozi wa Yusuf Rule ulileta kipi kwa waganda?, Uongozi Wa Iddih Amini Uliletaa mapinduzi yapi kiuchumi na kijamii..?
Je, Mh Yoweri Kaguta Mseveni ali rithi maendeleo yapi kiuchumi, kijamii ambayo ameyaharibu kwa uongozi wake kisiasa?
Je, hana maono Kwa Taifa?
Hao mnaotaka waongoze Uganda mwadhani waweza kuwa na vision ileile aliyo nayo Mseveni?
Demokrasia ni wendawazimu ni vema tukajifunza kwa waliopata madhara ya kukumbatia mbinu na mikakati ya Ulaya kudhoofisha nchi zetu, wivu kuwa fulani kakaa madarakani muda mrefu yampasa aondoke haikufanyi wewe kuwa kama yeye.
Endapo akifariki hilo ni jambo jingine na huenda likawa na majibu yake kwa wakati huo..
Kama ni ya Waganda Je Yowel Kaguta Museveni yeye sio Mganda? Au hao waganda uwasemao wewe ni wepi?Najua una ujumbe unataka kutupatia.
Umekosa sifa moja tu,huyo Mzee Yowel aanze kuamini kuwa uganda ni ya waganda sio yake.
Kingine tabia ya kudhani bila yeye maendeleo hayaji ni upuuzi fulani hivi.
Kama watu wa uganda wataanza kutumika, ni kosa la watawala kutoamini kuwa kuna wenye mawazo mbadala na kutotaka kuwapa wengine nafasi.
Huyu jamaa atakuwa mmoja wa wanafamilia wa Mu7, juzi hapa katoka kuweka saini mikataba China. Yaani wawakilishi walikuwa yeye Mu7, mkewe na shemeji yake!!Nijibu swali na Akifa je itakuwaje? Ina maana Uganda itarudi kule kule ilikotokea Kwa nini sasa kwenye utawala wake asijitahidi kuweka demokrasia au mfumo ulio imara ata kama ikitokea asipokuwepo kesho kuna ambao wataendeleza pale alipoishia.
Ubaya wake ni upi? Ama huo usio kuwa usawa ni upi? Unafahamu ili kulipitisha Taifa katika hatua moja kwenda nyingine unahitaji miaka mingapi ya kiutawala?Huyo M7 miaka zaidi ya thelathini madarakani, wewe mtoa uzi unaona no sawa??
"AJITAHIDI KUWEKA MFUMO IMARA BAADA YAKE "Nijibu swali na Akifa je itakuwaje? Ina maana Uganda itarudi kule kule ilikotokea Kwa nini sasa kwenye utawala wake asijitahidi kuweka demokrasia au mfumo ulio imara ata kama ikitokea asipokuwepo kesho kuna ambao wataendeleza pale alipoishia.
Ukiondoa nafasi yake kama mke je Jhanet hana nafasi yoyote serikalini inayompa fursa kuwakilisha taifa katika maamuzi?Huyu jamaa atakuwa mmoja wa wanafamilia wa Mu7, juzi hapa katoka kuweka saini mikataba China. Yaani wawakilishi walikuwa yeye Mu7, mkewe na shemeji yake!!