Ni ipi cream nzuri isiyochubua?

Ni ipi cream nzuri isiyochubua?

kuna mafuta yanaitwa perfect ni mazuri ila unang'aa kidogo na kangozi kanakua katraaam yani hauwi mweupe ila unakua black cofee with milk sijui unanielewa? ila kwa usoft??? perfect ilimalizaga yote
 
kuna mtu alitakla kuniuzia jana nikakataa niliona ni bei rahisi sana sikuyaamini tena ngoja niyajaribu asante sana
 
Msaada...naomba mnijuzi ni aina gani ya cream ni Nzuri, kwa maana ya kutokuchubua pia yenye sifa za TFDA, inayomfanya mtu kuwa na very clear skin bila chunusi wala harara....huku ikimaintain natural color
Tumia products za oriflame no set nzima nakupa kwanzia lotion na nn upake no kuchubuka
1478191106114.jpg
nichek kwa msaada zaidi
 
kuna mtu alitakla kuniuzia jana nikakataa niliona ni bei rahisi sana sikuyaamini tena ngoja niyajaribu asante sana
Kwa kung'arisha ngozi jipake mafuta ya mawese.... Unaweza kuchanganyia kwenye lotion.
Faida : ngozi inalainika na kung'aa
Changamoto : yanachafua nguo (ule unjano) na yana kaharufu ka mawese (Sio nzuri kiivo)
 
Mawese haya mafuta kama ya kula?ngozi inang'aa kweli?mie kila kitu najaribu sasa hivi nafanya treatment ya miguu iwe milaini[emoji1]
 
Yap hayo hayo kama ya kupikia, ukiyapaka ngozi inang'aa..... Unachanga kwenye lotion
Miguu iwe laini kwenye unyayo?
 
Leo nitapita sokoni ninunue kuna lotion siitumii nitahanganyia niwe napaka usiku wakati wa kulala.
Yah nataka miguu iwe laini kwenye unyayo
 
Weka miguu kwenye maji ya uvugu vugu, sugua na msasa.....
Ifute, paka mafuta ya maji yoyote, afu chukua Chumvi na sukari vichanganye, ufanye crub kwa dakika kadhaa, then osha!!!
Usiache kuleta feedback
 
Nitaleta si ulitoa ile thread ya kupaka mafuta ya maji then unafanya scrub au hiyo ya maji ndio kiboko
 
Tafuta seti ya Novage ni nzuri sana na hutojuta. Ila inagharama kubwa kidogo
 
kuna mafuta yanaitwa perfect ni mazuri ila unang'aa kidogo na kangozi kanakua katraaam yani hauwi mweupe ila unakua black cofee with milk sijui unanielewa? ila kwa usoft??? perfect ilimalizaga yote
Yanaitwa Perfect White wanadai yana hydroqunine.... Mafuta mazuri nunua Queen Elizabert Original kn mdada analeta kutoka UK anaitwa Norah nunua na bio oil utakuja kunipa mrejesho hapa
Ila mtu unakuwa mweusi kama fungo

Inamafuta mengi sana

Wapo kibiashara zaidi wanaaply na filter kumbe ni wabayaa

Kama nguo ukinunua utajuta
 
Samahani nimevamia,Hivi hizi mbegu zetu nasika nazo zinasaidia...
 
Yanaitwa Perfect White wanadai yana hydroqunine.... Mafuta mazuri nunua Queen Elizabert Original kn mdada analeta kutoka UK anaitwa Norah nunua na bio oil utakuja kunipa mrejesho hapa
Norah wa insta?yule anayeuza na perfume?Ulishawahi kuagiza chochote kwake?
 
Weka miguu kwenye maji ya uvugu vugu, sugua na msasa.....
Ifute, paka mafuta ya maji yoyote, afu chukua Chumvi na sukari vichanganye, ufanye crub kwa dakika kadhaa, then osha!!!
Usiache kuleta feedback

shughulipevu kisa miguu ilainike tu, kwan wanaangaliaga miguu saiv
 
Back
Top Bottom