Ni house girl au mke mwenza

Ni house girl au mke mwenza

Nyumba za kupanga
kuna mambo. Jana usiku jamaa karudi home na msichana wa kazi ambaye
katumiwa na ndugu zake kijijini.

Asubuhi hii full kindumbwe ndumbwe mke kamaind full ugomvi eti huyo ni
mke mwenza sio beki 3 kisa kaona house girl kajaaliwa ushape. Je
mfanyakazi wa ndani anatakiwa aweje.

Kinamama naomba ushauri kwani na mimi ndio naelekea kuafuta house girl
3.

ahaaa ni kutojiamin tu. dah leo nimeamini maneno ya wifi akimuagiza mama yake amtaftie msichana wa kazi,

"mama usitafte gonga kichwa awe mbegu mbaya"
 
Tunajua hilo ukisafiri anahamia chumba cha baba na mama! Halafu miezi michache unaanza kuona kitumbo kimeumuka!
hapana that is disrespectful,labda kama mwanaume mwenyewe nawe huna akili mara kumi mkagegedane kwenye banda la kuku nje huko ila chumbani??? f****k.....hell no
 
hapana that is disrespectful,labda kama mwanaume mwenyewe nawe huna akili mara kumi mkagegedane kwenye banda la kuku nje huko ila chumbani??? f****k.....hell no

Umerudi na mipombe yako saa 5 usiku utakumbuka banda la Kuku? Kwanza watchman anaeza kuwastukia!
Ni mbaya kugegeda mtu wa nyumbani kwako iwe kwenye banda, jikoni au garage!
 
Awe wa kawaida tu bro hao ndugu wamekutumia mke au housegirl hebu funguka vizuri
 
Cha mtu chake. Kaona kheri ajihami mapema ili yasijekutokea madhara baadae kukawa hakuna wa kumlaumu, anaogopa ya kwamba majuto ni mjukuu.
 
Nyumba za kupanga kuna mambo. Jana usiku jamaa karudi home na msichana wa kazi ambaye katumiwa na ndugu zake kijijini.

Asubuhi hii full kindumbwe ndumbwe mke kamaind full ugomvi eti huyo ni mke mwenza sio beki 3 kisa kaona house girl kajaaliwa ushape. Je mfanyakazi wa ndani anatakiwa aweje.

Kinamama naomba ushauri kwani na mimi ndio naelekea kuafuta house girl 3.

Kuepuka hilo, muache mama mwenye nyumba atafute beki tatu yeye!!
 
si ndo hapo,ni mambo ya ajabu sana. housegirl ana kuhusu nini mpaka baba mwenye nyumba ndo umtafute? wababa wa kizazi hiki ni majanga kweli

Msionee watu. Ka hivyo ndo haki sawa basi hatujui maana. Nyumba mnaziangamiza wenyeweeee. Utakuta limama limeenda kujifungua lina kaa miezi 6 mzee anakodolea mimacho tuuu. Ulienda kuzaa nini weye tofauti na wengine? Ukiomba angalao kamchezo kakutengeneza maziwa ya mtoto yawe mazito yakae tumboni mara Ohh mtoto ataharisha blah blah nyiingi.
Huku najichafua usiku tu. Wengine ametoka ofisini, kapata kamshahara tu, Nimechoka usiniguse. Nitatembea na h/g na jirani na marafiki zako woooote.
Msitutaabishe, ka hamuwezi zoezi dawa si kumfukuza h/g. Ntampangia chumba mtaa wa pili
 
Back
Top Bottom