Wale masikini na wanyonge tuliokuwa tunatumiana visenti kwa mitandao ya simu,huu ni ushauri wa bure,
Kutuma pesa kwa mfano laki mbili,utakatwa kwa ujumla,karibu 5000, sasa kama nauli ya daladala na mwendokasi ni 500 mpaka 1000,binafsi. Naona bora niwatume vijana wangu tu wapeleke kama ishu yenyewe au mtu ninayempa yuko ndani ya mkoa kama dar,mwanza mjini,arusha....maeneo yenye usafiri wa chapchap,nabakiza na chenji ya 3000/ ya kufanyia mambo mengine
Na vibaka wa mtaani..Odell's Muzuri sana. Ila UAMINIFU lazima upewe Garantee kwa Wale tunao watuma.
Labda ufanye utafiti kwanza kabla ya kupost. Juzi nimetuma 505,000/- tigo-tigo ada 1,850. Leo nimetuma 850,000 tigo-voda ada 2,250. Kutuma gharama zake ni hizo sasa sijui hio 5000/- kutuma 200,000/- umeitoa wapi. Ninachoweza kukueleza kingine, kutoa pesa cash kwa wakala ziko juu kulikom kutuma.Wale masikini na wanyonge tuliokuwa tunatumiana visenti kwa mitandao ya simu,huu ni ushauri wa bure,
Kutuma pesa kwa mfano laki mbili,utakatwa kwa ujumla,karibu 5000, sasa kama nauli ya daladala na mwendokasi ni 500 mpaka 1000,binafsi. Naona bora niwatume vijana wangu tu wapeleke kama ishu yenyewe au mtu ninayempa yuko ndani ya mkoa kama dar,mwanza mjini,arusha....maeneo yenye usafiri wa chapchap,nabakiza na chenji ya 3000/ ya kufanyia mambo mengine
Lumumba buku 7 umezichanga lini mpaka ikafika 260000?Hicho ulichoeleza una uhakika nacho? Jana nimetuma 260,000 sijaona hiki ulichoeleza
Mpaka utafuniwe kila kitu?Hebu piga gharama na za kutolea halafu jumlisha!Labda ufanye utafiti kwanza kabla ya kupost. Juzi nimetuma 505,000/- tigo-tigo ada 1,850. Leo nimetuma 850,000 tigo-voda ada 2,250. Kutuma gharama zake ni hizo sasa sijui hio 5000/- kutuma 200,000/- umeitoa wapi. Ninachoweza kukueleza kingine, kutoa pesa cash kwa wakala ziko juu kulikom kutuma.
Sasa kwa 1,850 ni afadhali nitume kwa njia hii kuliko kumpa mtu apande nayo daladala, labda hukuangalia risk ya kupanda daladala na kiasi kikubwa cha fedha.
We buku7 lumumba naona UME meki meki mpkHicho ulichoeleza una uhakika nacho? Jana nimetuma 260,000 sijaona hiki ulichoeleza
Mkuu unatuingiza chaka laivuLabda ufanye utafiti kwanza kabla ya kupost. Juzi nimetuma 505,000/- tigo-tigo ada 1,850. Leo nimetuma 850,000 tigo-voda ada 2,250. Kutuma gharama zake ni hizo sasa sijui hio 5000/- kutuma 200,000/- umeitoa wapi. Ninachoweza kukueleza kingine, kutoa pesa cash kwa wakala ziko juu kulikom kutuma.
Sasa kwa 1,850 ni afadhali nitume kwa njia hii kuliko kumpa mtu apande nayo daladala, labda hukuangalia risk ya kupanda daladala na kiasi kikubwa cha fedha.
Nenda katume 505,000 tigo-tigo uje utuambie gharama za kutuma ni kiasi gani.Mkuu unatuingiza chaka laivu
Mi niliachaga kabisa kuibiwa kibwege naunga mkono hojaWale masikini na wanyonge tuliokuwa tunatumiana visenti kwa mitandao ya simu,huu ni ushauri wa bure,