Mpaka sasa nimeshaonja joto ya jiwe ila ndo nampenda sasa na nimeshalipa mahari, niambieni nifanyeje
Nimekuelewa, kwasababu ndio anaanza, hata kama ametimiza huo umri, anatakiwa akae muda gani ndio aombe ruhusa ya kuolewa
Hhaaaa JF bhana....ngoja aonjwe na Sergent Kafuruma kwanza mengine baadae..!!