Tuambie kwanza sababu za kumtaka mwanajeshi .
Akipangiwa kambini akuambie uende mkaishi wote kambini utakubali?
Kwa sasa haweziMkuu nahitaji majibu yote, kama unafahamu yaweke hapa, je unaweza kuishi naye bila kufunga ndoa
Jiandae na pressure
Kwa sasa hawezi
mpaka amalize kipindi cha ukapera
pia inategemea muda na cheo
N.B
Yule si raia
Wakuu heshima zenu,
Ni hatua zipi za kumuoa binti ambaye ni mwanajeshi, ndo kwanza amejiunga na JWTZ. Je unaweza kumuoa baada tu ya kujiunga au inachukua muda kiasi gani na hatua zipi za kufanya?
Nawasilisha
Wakuu heshima zenu,
Ni hatua zipi za kumuoa binti ambaye ni mwanajeshi, ndo kwanza amejiunga na JWTZ. Je unaweza kumuoa baada tu ya kujiunga au inachukua muda kiasi gani na hatua zipi za kufanya?
Nawasilisha
We jamaa ----- ivi huyo demu kama mmependana anashindwa kukuambia kwa mda gani atakua tayari kuolewa? Unaleta hapa kwani ndio jeshini nenda kambi ya jeshi kaulizie taratibu utapewa.
Sheria za sasa jeshini kuhusu masuala ya ndoa ni mpaka mwanajeshi anayeoa au kuolewa atimiize miaka 26 Hiyo ndo sheria mpya tofauti na ile ya zamani ya kukaa miaka sita kisha ndo uoe au uolewe. Kwa hiyo kama huyo binti ametimiza miaka 26 basi yuko sahihi kuolewa kwa sheria za sasa za ndoa jeshini.
Kaka kama hujui kitu ni bora unyamaze, mi mambo ya jeshi cjui, amenieleza vitu vingi, nataka nithibitishe kupitia hapa, mana najua humuwapo watu wa kila aina, cio lazima mimi kwenda kambini kuuliza.No research, no right toargue
michepuko yako itakomajeeeee...wote watakuogopa
We taahira yani kumbe kashakueleza ila umuamini sasa unataka kuthibitisha hapa kwani hapa ndio jeshini. Mambo ya kijeshi yupo msemaji wa kijeshi na si hapa jf utaongopewa tu. We kama mnapendana ni jukumu lenu kukaa na kushauriana mtafungaje ndoa na sio ujinga huu unaoleta hapa.
Kesho mkioana atakuambia mambo ya kijeshi hutoamini utakuja kuuliza hapahapa jf au fb huoni kama utakua unahatarisha siri za jeshi? Na umejua kwa nini nimekuona mjinga?
Ushauri wa bure
Tafuta mwanajeshi yoyote naamini hata huko kwenu wapo muulize kiuungwana atakueleza na sio humi mitandaoni kiazi we.