Ni hatari! Vijana wengi hawatumii kinga

Ni hatari! Vijana wengi hawatumii kinga

Hapana kabisa labda sijaeleweka,ni hivi ukishapima utapewa majibu saa hiyo ila utaambiwa kama umefanya ngono leo au jana itabidi uje tena baada ya miezi 3,yaani kama ulifanya ngono zembe juzi watakuambiwa uje baada ya miezi 3,hata kama wakikupima siku hiyo majibu utakayoyapata sio ya wakati huo,au muda huo huo...kwasababu wadudu wamejificha mpaka miezi 3....ndo uhakika...

I got u....!!
 
Watu wote hawatumii kondomu...wachache utumia condom week ya kwanza au mwezi wa kwanza baada hapo ni kuteleza!Na kwakuwa Dada zetu siyo wenye maamzi ya mwisho uishia kukubali akiisha ambiwa nipo poa akikomaa jamaa anatumia kwa goli la kwanza linalofuata utasikia sisikii kitu na Dushe imelala!!Ila ukweli kuna wanaotumia condom...na wengine hakuna ila ukweli condom ni ujasiri utatumia week mkizoeana mnapiga pyua lether na kuna wanaotumia goal la kwanza hawawezi kurudia la pili na condom kwani inawaumiza au dushe inakataa kazi ila ikisikia utelezi mnala!
 
Mwanzoni umesema wote hawatumii kondomu....mwishoni unakubali kuna wengine wanatumia kondomu. Tuamini lipi, neno la kwanza au la pili?
Mimi situmii kabisa kwa sababu nipo na mke wangu tu.
 
Hayo yote ni majibu!Jiangalie wewe upo upande gani??
 
Me napenda tutumie condom coz game linachukua mda mrefu hence naridhika sana.
 
Back
Top Bottom