Ni hatari! Vijana wengi hawatumii kinga

Ni hatari! Vijana wengi hawatumii kinga

Hahaha kijana hongera ila sijui Kama wale mnaokutana nao mkiwa sight kwenye kusaka nyoka huwa mnapima nao.
kijana toka nigundulike sijaadhirika naona kila demu ana HIV,hata huyu niliyoeleza juu kalikuwa katoto cha field wilaya moja katika kusaka nyoka.mkuu tunapata majaribu sana,mda mwingine unashawishika kufuta hoja kwa papuchi
 
Hata malaria inaua...tena inaua zaidi kuliko ukimwi. Kufa kufa muhimu uzikwe...
 
Watanzania Nina uhakika tukitumia London maabukizi yatapungua sana me kutembea na Demu bila kondom labda nishikiwe mtutu
 
Kiukweli wanawake wengi hawapendi kondom wanasema zinawaumiza, but ni hiv kondom ni Nzur ukitumia kuanzia ejaculation ya 2,3,4,5,6,7,8,9 na 10 kwasababu msuguano ni mkali ivi mchubuko upo
 
HONGERA MKUU, mm binafsi bila condom ni BIG NO...! tena mm kwenye pochi yangu huwezi kosa hiyo kitu, sometimes boy wangu huwa hanielew eti lazima nitakuwa kicheche lkn huwa namwambia maisha yangu ni yangu ni lazima niyalinde kwa nguvu zote...!

Mkuu lakini unajua kuwa unavyohifadhi hivyo si salama? Yaweza bast wakati huko kileleni, ushapandisha mzuka!hii ni hatari bora kununua moja kwa moja from pharmacy, tena siku yenyewe ya mechi au hifadhi unapoishi iwe sehemu salama.
 
Kiukweli wanawake wengi hawapendi kondom wanasema zinawaumiza, but ni hiv kondom ni Nzur ukitumia kuanzia ejaculation ya 2,3,4,5,6,7,8,9 na 10 kwasababu msuguano ni mkali ivi mchubuko upo

Mkuu kuna jamaa yangu ye ujipaka mafuta ya jerry kwenye uume wake, anaamini yanazuia maambukizi, eti jamani hii imekaaje, kama kuna wanaotumia hii kitu watujuze.
 
kaka OKWI BOBAN SUNZU:ni vema sana kwa maelezo yako inaonekana hakuwa mchumba wako bali mlikutana sehemu flani kwa vile yeye ni Mzuri sana ukatongoza ukakubaliwa na uka "mlazimisha"mkapime....safi sana.je kwa hali ya kawaida nani ambae amewahi kukutana na mwanamke mzuri akamwambia tukapime/wanaume wengi wanaogopa hii hatua kwa sababu 2.
1.Anaogopa mdada wa watu atamkosa,atakimbiwa fasta,na ndege kumkosa hii ipo sana.
2.Hana uhakika na afya yake yeye mwenyewe
3.Mwanamke mwenyewe ambae katongozwa badala ya kuonyesha njia kwamba hapa papuchi haitoki mpaka tukapime nae anaogopa,sijui wanaogopaga nini wakati wao wanabembelezwa ktk kutongozwa na hatua ya mwanzo mwanamke ndo anakuwa na NGUVU SANA Juu ya mwili wake hasa kabla ya kumkubalia mwanamume,sijui kwanini wanashindwa kutumia hiyo nafasi.
4.Tatizo la Tanzania kama sio Africa ukipima eti majibu ya uhakika mpaka miezi 3,hizi ndo longolongo ambazo zinakatisha watu tamaa,mimi sio Daktari lakini nafikiri nchi kama ujerumani au Ufaransa hospitali zao kuna reagent/chemical ambazo akikupia tuu siku hiyo hiyo inaonyesha majibu yako ya wakati huo,sio Tz ohh virus sijui anakaa mda fulani ndo ajitokeze,sijui anajibadilisha,sababu ni nyingi,sijui anafanyaje?....ndo tatizo la vitu vya bure,kupima bure,chemical zenyewe zinazotumika kupima huenda wamepata kwa bei chee/Ruzuku,ndo humo humo tuuu.
Pima fasta majibu fasta ndo mpango mzima.
HONGERA OKWI BOBAN SUNZU KWA "KUMLAZIMISHA KUPIMA"Mwingine utasikia kwani unanioa,au sijajiandaa,au anakupotezea mazima...

mkuu monaco kwa maelezo yako inaonyesha kabisa haujawahi kupima,hayo mambo ya kusubiri majibu miezi mitatu yalikua those days 1980s siku hizi unapima hapo hapo unapewa haki yako kama wa kulia utalia km wa kucheka utacheka sanaaa!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nifuatilie kama zimeshuka bei, hata hivyo this is so serious na sio ishu ya mchezo hata kidogo
 
Kuna ndugu yangu m1 alikuwa akimaliza kugegeda anakuta zimepasuka...ni ukubwa wa dushe au uzembe?
 
mkuu monaco kwa maelezo yako inaonyesha kabisa haujawahi kupima,hayo mambo ya kusubiri majibu miezi mitatu yalikua those days 1980s siku hizi unapima hapo hapo unapewa haki yako kama wa kulia utalia km wa kucheka utacheka sanaaa!

Haijawahi kutokea dunia hii upime leo majibu baada ya miezi 3.
Kilichofanyika ni kupima miezi mitatu baada ya kipimo cha kwanza kufanyika, kutokana na asili ya VVU wenyewe.
Ilisemekana wakiingia kwenye damu ya mtu kwa mara ya kwanza wanaweza wasionekane kama ukipima hapohapo.
 
Last edited by a moderator:
Ila ukipata ukimwi tu unajua bila hata kupima.The first 3 wks or 4 ni lazima ushikwe fluu,homa;kikohozi na kuvimba kama matezi.Japo ni kwa muda kidogo kama wiki au 2 wks then hali hiyo inaisha.Ukiona hivyo jitayarishe kisaikolojia
 
Wewe ulishaupata?
 
mkuu monaco kwa maelezo yako inaonyesha kabisa haujawahi kupima,hayo mambo ya kusubiri majibu miezi mitatu yalikua those days 1980s siku hizi unapima hapo hapo unapewa haki yako kama wa kulia utalia km wa kucheka utacheka sanaaa!
Hapana kabisa labda sijaeleweka,ni hivi ukishapima utapewa majibu saa hiyo ila utaambiwa kama umefanya ngono leo au jana itabidi uje tena baada ya miezi 3,yaani kama ulifanya ngono zembe juzi watakuambiwa uje baada ya miezi 3,hata kama wakikupima siku hiyo majibu utakayoyapata sio ya wakati huo,au muda huo huo...kwasababu wadudu wamejificha mpaka miezi 3....ndo uhakika...
 
Haijawahi kutokea dunia hii upime leo majibu baada ya miezi 3.
Kilichofanyika ni kupima miezi mitatu baada ya kipimo cha kwanza kufanyika, kutokana na asili ya VVU wenyewe.
Ilisemekana wakiingia kwenye damu ya mtu kwa mara ya kwanza wanaweza wasionekane kama ukipima hapohapo.
mimi nazungumzia kipimo cha kwanza,Ujerumani kipimo cha kwanza na majibu hapo hapo,huku kipimo cha kwanza unaambiwa hakitaonyesha labda uje baada ya miezi 3,Nenda ujerumani na ufaransa siku ya kwanza tuu we unapima jamaa wanajua unao au huna hawana mda wa kusubiria eti mpaka miezi 3 eti uje kwa kipimo cha pili....nahisi reagent/chemical wanazotumia kupima ndo zina determine uharaka wa majibu,its expensive.
 
Back
Top Bottom